TANZIA Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

Havieleweki mara oo ali differ na rafiki yake ndio akapiga kelele za mwizi, waiiiiii mie siju! Mods unganisheni basi hizi habari za huyo marehemu
 
Inamaana Majangili yamemuuwa Tembo?
 
Utavuna ulichopanda, kama ni kwa ugomvi au ulevi, ama ni kwa kuiba au kunyang'anya. The world is not fair
 
Kuna dalili za uhalifu kwenye hiki kipigo.
"marafiki zake" wakae kimya jamaa akila kipondo? tena kwa kuitiwa "mwizi"

Wasitutanie hawa!!!!
 
Muungwana blog wanaripoti kua kifo chake kimetokana na kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
 
Rip,masupastaa mfundishike..!,kwa kuwa ni bondia / kila pahala unataka uonyeshe ubabe..../
 
Nguvu ya uma ni zaidi ya bomu la nyukilia, usiombe ikakukuta hata siku moja, hautosalimika vile raia huwa hawa angalii
 
Ndo ifahamike kuwa wananchi wakiamua kuiondoa ccm wanaweza hata iweje?
Pole familia,lazima wametofautiana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…