Dindilimunyo
Senior Member
- Sep 12, 2016
- 108
- 206
Ndo ifahamike kuwa wananchi wakiamua kuiondoa ccm wanaweza hata iweje?
Pole familia,lazima wametofautiana tu
Mkuu acha Kufananisha kuiondoa CCM na mambo ya Kijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ifahamike kuwa wananchi wakiamua kuiondoa ccm wanaweza hata iweje?
Pole familia,lazima wametofautiana tu
Unaongea kitu ambayo ni halisi sema kuna watu hapa Dar Hawajuo hawa matembo.
Ukiwa mjinga hutopatwa na ttz lolote ila ukijifanya mjanja ndio utakutana na masaibuSiku hizi tumekuwa na jamii au watanzania wanaochukua sheria mkononi. Matukio ya kumshukia mtu kuwa mwizi au mchawi na kuanza kumpiga yamekuwa mengi sana. Tukio la dodoma na hili la Machale kama ni kweli yanazidi kutuogopesha jamii ya watanzania tulionao
iwe mwizi isiwe mwizi. kumpiga mtu yoyote ni kosa la kisheria. na statements kama hizi ndio husababisha watu kupioteza maisha kwani wakati wa kupiga mwizi ' kwakuwa tu mtu kasema mwizi' kinatokana na ' kuhalalisah eti wezi kuuwawa. Sipendi vitendo vya wizi lakini matokeo ya kujichukulia sheria mkononi ndio haya. Ml. Nyerere aklikwisha sema, dhambi moja ikianza basi huja na nyingine. Watu zamami walikwa wanawapiga wezi, wakahamia watyu wakifumaniwa ( mind you hao watu wote ni watu wazima), mara dreva akigonga mtu, mara sijui nini imetuvikissha hapa.kipigo tena? alikuwa Mwizi au wananchi kawakoses nn tena huyu jamaa?
Bar za uswahilini shida. Uptown bar mtu akileta zogo wateja wanalipa bill yake na kushurutisha management kumtimuwa. Watu na fedha Zao hawataki bugdha.Tatizo la Celebrities wengi wa Tanzania hawajui kuishi kistaa..kuna vitu kama Staa hutakiwi kuvifanya,kuna sehemu hutakiwi kwenda....kuna Bar za kwenda kunywa,za watu wenye pesa zao...hata akitokea Chizi mmoja na mawivu yake akakupigia kelele basi watu watakukamata wakupeleke Polisi,Sio Unaingia Bar za Kiswahili kama hizo mapanga yako karibu,sio kila bar unaingia kunywa.
Usipojua thamani yako utaondoka hapa duniani mapema sana!!
R.I.P Thomas Mashali,nilikuwa nakukubali sana..pengo lako kubwa sana
HUYO ALIYETAMKA MWIZI AKAMATWE NA KUSHTAKIWA KWA MAUAJI. ILI HAYA MAUAJI YAKOMESHWE!Nimesikiliza vizuri radio wametangaza hivi
Alikua kwenye bar moja kimara anakula masanga[emoji481][emoji481] na washikaji zake sasa pale kwenye meza akawa amepishana maneno na jamaa mmoja, ndio huyo aliyekua akijibizana nae akaita mwizi.... Na hapo ndio watu waliokua eneo hilo wakamvaa na kuanza kumpiga na mapanga, malungu mpaka bondia huyu nguli kupoteza uhai.
Ikumbukwe alitoka morogoro juzi na jana mchana alikua kwenye kongamano la mabondia na jioni alipoenda kupooza koo[emoji481] ndio mauti yakamkuta.. Pia mashali alikua anatakiwa ajiandae na pambano lake siku za karibuni.
Bwana ametoa na bwana ametwa jina lake lihimidiwe[emoji24][emoji24]
Kabisa yaani...Hizo bar zingine Panga nje nje yaani daah![emoji22]Bar za uswahilini shida. Uptown bar mtu akileta zogo wateja wanalipa bill yake na kushurutisha management kumtimuwa. Watu na fedha Zao hawataki bugdha.
Usitake tuanze kutoa siri za marehemuTanzania ni nchi ya ajabu sana, ni rahisi zaidi kumuhukumu asiye na hatia na kumwacha huru mkosaji
Mkuu Tembo wapo kabisa na ni halisi, wanagawana maeneo.
Mimi hawa niliwafahamu baada ya Tembo wa Ubungo kwenda kuvamia kituo kipya cha Mbezi Mwisho, kukatokea vita kali sana na wale wa Ubungo wakatimshwa, sasa baadae tena kukatokea mtafaruku wa Tembo wa pale Mbezi mwisho mpaka ikafikia kugawana stendi, mwingine alichukua stendi ya Malamba Mawili.
Mashali alikuwa ni Tembo wa Manzese, sina uhakika utawala wake ulikuwa unaishia wapi lakini jamaa alikuwa na eneo kubwa analomiliki kwa muda mrefu tu.
Acha kututisha wewe, rejea Zab: 118: 17 " Sitakufa bali nitaishi nami nitayasimlia matendo ya Bwana"Apumzike kwa amani. Kila kiumbe kina ukomo wa kuishi hapa duniani haijarishi utapitia njia gani.
Mimi na wewe mwanaJF hatujui siku yetu lini but will face the DEATH.
Pole nyingi kwa wafiwa.