Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hichi kifo kina utatanishi lkn marehemu pia ana background mbayaMtu awezi kuwa ndani ya Bar alafu baada ya ugomvi kidogo wakiwa humo humo ndani akasigiziwa wizi then watu from nowhere wakaja na mapanga na nondo wakamshambulia na kumuua bila ya kuuliza tatizo kwanza!
Maoni yangu: Kisa hiki kinanikumbusha stori moja ya golikipa mahili ya Ghana wa club ya Asante Kotoko naye aliuwawa kwenye mazingira ya kuatanisha - jamaa walianzisha ugomvi kwenye Bar alipokwenda kuwahamulia wakamchoma kisu akafa, baada ya uchunguzi wa kina ikaja gundulika kwamba kumbe ugomvi ule ulikuwa ni mpango mahususi wa kumuua yeye baada ya wauuaji kulipwa na Club Shindani!
Binafsi naona kisa cha Nashali akina tofauti na cha golikipa wa Ghana, kwanza waojiwe aliyo ambatana nao kwenda Bar hao naona walihusika kuhandaa watu mapema wa kumuua Mashali mambo ya kupishana kiswahili na jamaa hiyo ni gheresha tu ya kuoata kisingizio cha kumshambulia kwa mapanga na marungu - walicho tafuta pale ni kuondoa ushindani katika fani za ngumi au Mashali alikuwa kikundi cha umafia wakiwahi kudhurumiana wajatafuta njia mbadala za kulipiza kisasi - hili alikuwa tukio la jawauda hata kidogo, na,Watanzania hawawezi kumvamia mtu bila ya kuhoji ukweli wa mambo kwanza. Hayo ni maoni yangu I might be wrong.
Amefia Muhimbili!Aliyekuwa bondia maarufu Thomas Mashali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo maeneo ya kimara.
uko bar unakunywa halafu unaitiwa mwizi hao watu walitoka wapi ndani ya muda mchacheKwann unasema hvy ,
Inabidi watu wa hiyo Bar waulizwe ukweli ndio utajulikana sidhani mteja kwenye bar hata aitiwe mwizi from no where apigwe lzm wangeuliza kwanzauko bar unakunywa halafu unaitiwa mwizi hao watu walitoka wapi ndani ya muda mchache
Mob Justice?Hapo Mwenye Bar Lazima Aseme Ukweli Hawa Wananchi Wenye Hasira Kali Ni Kina Nani?Lazima Kuna Ki2 Nyuma Ya Pazia,wananch Wenye Hasira Kali Wametumika Kama Chambo.Upelelezi Ndyo Utakaoufumua Yote Yaliyokuwa Nyuma Ya PaziaClauds wametangaza aliitiwa mwizi baada ya kutokea ugomvi Baa Na rafiki yake.
Hivyo wananchi wenye hasira wakamshambulia Na mapanga baadae watu wa bodaboda wanaomfahamu wakamkimbiza Mhimbili ambako mauti yalimkuta.
R.I.P.
Ndo mana Nape anawakomalia wawe na degree. Mana wanapost nonsenses. Haiingii akiliniKuna kitu sijakielewa hapa. Yaani wamekaa Bar, akiwa na rafiki zake wakinywa, anatokea mtu wanapishana maneno, kawaida katika kupishana maneno hapo kumbuka lazima watakua wali buy attention za watu. Halafu huyo wanayepishana naye maneno anaamua kpiga kelele za mwizi, ghafla wanatokea watu wakiwa na mapanga na marungu na kuingia sehemu hiyo ya biashara na kuanza kumshambulia mteja, hapo bar hakuna wahudumu? hakuna ulinzi? wale rafiki zake walikwenda wapi?
Mwandishi makini hawezi ku report vitu vya aina hii, kama angejiuliza haya maswali niliyojiuliza mimi basi angeendelea kuutafuta ukweli au ange report kifo badala ya kutoa details zilizopoteza radha kwa wingi wa ukakasi.
Ameuawa kwa risasi au mapanga kwa kuitiwa mwizi? Very confusing!
Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali, hatunaye.
Taarifa zinaeleza ameuwawa kwa kupigwa risasi na mwili wake kuokotwa vichakani maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.
Yassin Abdallah maarufu kama Ustaadhi, mmoja wa viongozi wakongwe wa mchezo wa ngumi amethibitisha na kusema mwili wa Mashali upo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
"Tumethibitishiwa hizo taarifa za majonzi kabisa, mwili upo Muhimbili na msiba upo kwao Tandale," alisema Ustaadhi.
CHANZO - SALEHE JEMBE BLOG
Hichi kifo kina utatanishi lkn marehemu pia ana background mbaya
Sidhani kama huyo goli kipa wa Ghana alikuwa na background mby
Mkuu hebu pitia na hizo posts zilizotangulia Kuna watu nao wanamfahamu alikua na vikundi vyake vya uporaji,wengine wamesema alikua mtemi na akilewa nilazima awe mkorofi Sasa hebu tuweke vizuri upoa wake ulikuaje kwa unavyomfahamu wewe!!!Mashali alikuwa m2 poa sana mm nilikuwa nakutana nae sana maeneo ya Meridian M'nyamala na kama humjui ilikuwa sio rahisi kuja km ni boxer hakuwa na ubabe jinsi watu wanavyoelezea
Mashali alikuwa m2 poa sana mm nilikuwa nakutana nae sana maeneo ya Meridian M'nyamala na kama humjui ilikuwa sio rahisi kuja km ni boxer hakuwa na ubabe jinsi watu wanavyoelezea