Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
inauma sana lakini hamna jinsi upumzike kwa amani Mashali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuu. Thanks.Kama kawaida yako - well said, nilikuwa sijaona maoni yako. CHEERS.
Inasemekana jamaa bado alikua na utemi wa manzese, so watu washamchokaUsikute alikua na utemi WA kuonea raia
View attachment 426997 View attachment 426990
Thomas Mashali,bondia mashahuri wa Tanzania amefariki usiku wa leo baada ya kupigwa mapanga maeneo ya Kimara.Inasemwa kuwa Mashali alikuwa kambini akijiandaa na pambano,lkn alitoka kambini na jamaa zake na kwenda kunywa moja moto na moja baridi.
Baada ya kupata kilaji,Mashali alihama Bar moja na kwenda nyingine,ambapo wanasema akilewa huwa anakuwa na fujo.Sasa aliingia Bar nyingine akaanza kuleta ubabe wa kupiga watu.Raia wakamuitia mwizi,watu wakaja na mapanga na marungu wakampiga mpaka kufa.Walipokuja kugundua ni Mashali,ilikuwa ameshauwawa na kupoteza damu nyingi.
Madereva wa bodaboda wakamchukua na kumpeleka Muhimbili.Mpaka sasa mabondia wanakusanyika Muhimbili kwa ajili ya utaratibu wa mazishi.
Kwa Heri Bondia Thomas Mashali.
Pamoja na tofauti zote tulizo nazo binaadam, lakini wote tuna common behaviours kama kuchangamana, huzuni, furaha, uchovu n.k hivyo yoyote kati ya tabia hizo au zote kwa pamoja haimuondolei mtu tabia zake.Mm simfahamu kihivyo ila alikuwa anapenda sana kuja Meridian bar na alikuwa anakaa hadi usiku mnene sikuwahi ona anazinguana na mtu yyte
Nadhani nitalazimika kuanza Program ya kusaidia hawa vijana wa aina hii na timu yetu ya taifa ya soka ili wawe washindi badala ya kuishia waishiapo.Alikuwa ni jamaa fulani anayeishi maisha ya uswahili japo jina lake ni kubwa sana.
![]()
![]()
...hahahahaha..arifu sie marasta tunakula mmea,hatuli nyama wala mamanzi!Huu mchezo unaweza kumkuta yeyote, muda wowote, inabidi ukomeshwe haraka. Upiversity unatoka na manzi anayemtaka, anakuitia tu mob wanakutanguliza mbele ya enzi.
R.I.P Mashari/Mashali.
Icon ukiingia kwenye anga zake lzm uite maji maaWaliua watafiti wakisema ni wanyonya damu, Leo wameua bondia wanasema ni mwizi.. Duh hili liangaliwe kwa jicho la tatu. Mashali alikuwa ni Icon ya nchi. Very sad. R.I.P Kamanda.
Haitoi uhalali wa kujichukulia sheria mkononi. Mpaka mauti yanamkuta kuna ushahidi wowote kuwa kweli alimuibia huyo aliyemuita mwizi.Icon ukiingia kwenye anga zake lzm uite maji maa
.R I P
Akiwa mtu mmoja wanajifanya wanahasira lakn kikiwa kikundi cha vijana watano wakiwa na mapanga wanatafuta pa kutokea ..Clauds wametangaza aliitiwa mwizi baada ya kutokea ugomvi Baa Na rafiki yake.
Hivyo wananchi wenye hasira wakamshambulia Na mapanga baadae watu wa bodaboda wanaomfahamu wakamkimbiza Mhimbili ambako mauti yalimkuta.
R.I.P.