Kafukueni Nyerere sasa ili mumuadhibu kwa kuwafanya masikini.Huwa uko mwepesi sana kutoa lawama, tena kwa lugha za kikaburu na kibaguzi.
Kama ni kweli unavyojitutumua hapa kwamba una akili, kwanini usituwekee hizo hoja zisizo mufilisi tuone mapovu yako.
Inaelekea ww ndie mvivu hata wa kuleta hoja😂
Ushahidi unao?Unaambiwa at one point in the nineteen seventies Tanzania ilikuwa na political prisoners wengi zaidi ya apartheid South Africa, hiyo ni moja ya matokeo mabaya sana ya siasa za Nyerere.
Lawama hamzikwepi kwakua nyie ndio mliotufikisha hapa.Mmeendekeza uchawa na unduguundugu matokeo yake kazi imewashinda.Huwa uko mwepesi sana kutoa lawama, tena kwa lugha za kikaburu na kibaguzi.
Kama ni kweli unavyojitutumua hapa kwamba una akili, kwanini usituwekee hizo hoja zisizo mufilisi tuone mapovu yako.
Inaelekea ww ndie mvivu hata wa kuleta hoja😂
Hao ndiyo madocta wetu nchini ....maana wana akili kiduchu toka nyerere hadi sasa ni marais wangapi waliopita....Nyerere kafanya kazi ya kuwaondoa wakoloni kaachiwa nchi ikiwa asilimia zaidi ya 90 ya watu wake awajui kusoma wala kuandika ....hakukuwa na barabaya kutoka dar es salaam hadi kigoma unaweza kutumia week 2 au hata mwezi mzima kusafiri njiani ndiyo ufikeKuendelea kumlaumu Nyerere kwa katiba mbovu ni kuonyesha jinsi gani sisi tuliopo sasa tusivyo na uwezo wowote.
Kama tunajua ni mbovu kwa nini hatutengenezi nyingine iliyo bora zaidi?
Hapo Nyerere hastahili lawama yoyote ile.
Sisi tumeondoka Ikulu kwa kuamini kwamba watakuja watu wengine watafanya kazi nzuri kuliko sisi.Hao ndio zao la siasa za familia yako, nyie ndio mmetuharibia nchi
Kuna matukio makubwa mawili enzi ya Nyerere yaliyo changia kuathirika kwa uchumi wa Tanzania. Kwanza ni vita vya ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika. Tanzanian ili tumia resources zake nyingi kuzikomboa nchi hizo. Pili ni vita dhidi ya uvamizi wa Idd Amin wa Uganda. Nchi ili tumia resources nyingi sana kwenye ile vita ambazo zingetumika kwa maendeleo ya wananchi wake.Wazungu wa west siku zote wamekuwa wakidemonize socialism na communism. There is no way watasifia ujamaa au kumsifia kiongozi wa kijamaa. Chuki za kiitikadi zipo deeply ingrained ni kama ambayo hamas hawezi kusifia chochote cha yahud au shabiki mnazi wa simba asivyoweza kuisifia Yanga.
Ni wazungu hao ndio ambao wamekuwa wakitoa skolaship kwa baadhi yetu kwenda kusoma kwenye vitabu vyao, vyuo vyao, kufundishwa na hao wazungu, na tunakuwa indoctrinated kuwa ujamaa ni mbaya na Nyerere was bad.
Kuna nchi jirani kadhaa, ambazo hazikufuata ujamaa wala hazikuwa na mtu kama Nyerere, ZIKO WAPI KIUCHUMI?
Na toka Nyerere kaondoka, tuko wapi kiuchumi?
Siasa za Ujamaa/Ukomunisti za Mwl. Nyerere zilukuwa na madhara mabaya sana kwa Uchumi wa nchi na hata kuathiri maisha binafsi ya mtu mmoja mmoja katika nchi.Unaambiwa at one point in the nineteen seventies Tanzania ilikuwa na political prisoners wengi zaidi ya apartheid South Africa, hiyo ni moja ya matokeo mabaya sana ya siasa za Nyerere.
Hii inchi tulianza kuwalaumu wakoloni😀😀😀sasa hizo PROPAGANDA baada ya kupoteza ushawishi.Sasahivi wanahamisha magoli wanasema ni Nyerere wakimalizana na nyerere watamtafuta mtu mwingine wa kumtwisha zigo la mavi🤗🤗🤗Hao ndiyo madocta wetu nchini ....maana wana akili kiduchu toka nyerere hadi sasa ni marais wangapi waliopita....Nyerere kafanya kazi ya kuwaondoa wakoloni kaachiwa nchi ikiwa asilimia zaidi ya 90 ya watu wake awajui kusoma wala kuandika ....hakukuwa na barabaya kutoka dar es salaam hadi kigoma unaweza kutumia week 2 au hata mwezi mzima kusafiri njiani ndiyo ufike
🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3248811
Nime attach hiki kitabu kwa Makusudi
Mwalimu alisistiza kuwa ameandika hiki kitabu hajakosea sehemu yoyote hata Nukta
Kwa umuhimu wa hayo mambo mawili huwezi kuweka kama setback katika nchi kupiga hatua.Kuna matukio makubwa mawili enzi ya Nyerere yaliyo changia kuathirika kwa uchumi wa Tanzania. Kwanza ni vita vya ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika. Tanzanian ili tumia resources zake nyingi kuzikomboa nchi hizo. Pili ni vita dhidi ya uvamizi wa Idd Amin wa Uganda. Nchi ili tumia resources nyingi sana kwenye ile vita ambazo zingetumika kwa maendeleo ya wananchi wake.
Siasa za Nyerere ndio asili ya National cohesion ya Tanzania , kitu kinachofanya nchi iwe na amani albeit inayotaka kuvurugwa na viongozi mafisadi wa ccm!
Enzi ya Nyerere tofauti ya kitabaka kati ya matajiri na masikini haikuwa kubwa kama ilivyo sasa Hivi!
Wakijibu nistue👋🫡🫡
Subiria majibu ya kiufundi hapo. Kwanza watahamisha magoli na kisha waseme you know what. Wizi Rushwa, na Ubadhirifu.
Huu sio ukweli, USSR, Cuba na China walihusika kusaidia katika vita vya ukombozi. Pia Angola imepigana vita vikubwa vya wenyewe kwa wenywe vya miaka 25 tangu 1975-2000 ila wana uchumi mkubw kutuzidi wakati hatutofautiani sana kwa ukubwa wa nchi, rasilimali na jiografia.Kuna matukio makubwa mawili enzi ya Nyerere yaliyo changia kuathirika kwa uchumi wa Tanzania. Kwanza ni vita vya ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika. Tanzanian ili tumia resources zake nyingi kuzikomboa nchi hizo. Pili ni vita dhidi ya uvamizi wa Idd Amin wa Uganda. Nchi ili tumia resources nyingi sana kwenye ile vita ambazo zingetumika kwa maendeleo ya wananchi wake.
📌📌📌Uafrika ni laaanaaaaaa!!!!Mkuu huu mtandao umekuwa wa Kisenge sana,kuna watu wana majina makubwa humu ila ukisoma comment zao kwenye mambo ya msingi kuhusu nchi au Historia yetu unabaki kushika kichwa tu,
Kwa mfano Nyerere aliandika Kitabu cha Tanu Na Raia kuwakumbusha viongozi juu ya wajibu wao katika Taifa hili changa,bado akaja na kauli mbiu ya Uhuru Na Kazi ili watu wajue Uhuru sio kukaa kwenye vibanda vya kahawa na kubishana mambo ya Yesu na Mtume Mohammed nani ni mkweli au Simba na Yanga,
Akabinafsisha na shule za Misheni ili hawa mbwa wanaomtukana leo babu zao wajue hata kusoma na kuandika,akaja na UPE ili kila mtanzania kwanza ajue kusoma na kuandika na wachache waende Elimu ya juu ili kuja kuiokomboa hii nchi kiuchumi,
Mimi nipo Katavi huku,miaka ya 70 huyo mzee alileta Timu ya wataalamu kutoka Urusi kufanya tafiti za kijiolojia kufahamu Assets za Madini tulizokuwa nazo,wale warusi waligundua vitu vya hatari ila inavyosemekana walipotaka kuchimba Mzee alikataa na kusema nataka mpaka wananchi wangu wawe na Elimu ya mambo hayo,mimi nimebahatika kupata Geological Map ya hao warusi,ni hatari yaliyomo na namshukuru Nyerere mpaka naingia kaburini,leo hii mimi namiliki Leseni za Madini ya Dhahabu na Kopa sababu yake.
Wachina wanakimbilia Katavi kuvuna Copper na Gold watu weusi wanabaki kubishana Simba na Yanga au harusi ya Mobeto na msenge mwenzake.
Shida ya watu weusi lipo Kichwani,tunapenda kulalamika bila ya kuja na suluhisho,hata kujaribu tunashindwa na mtu akijaribu ikitokea matokeo hayajakuwa mazuri ndio hapo hapo tunapoonesha kuwa hana Akili wakati wewe mwenye Akili umeshindwa kujaribu chochote.
Fikra Za Mwalimu Zidumu.
Ishu sio kuwalaumu to wakoloni, sema wakoloni walifanya yapi mabaya na madhara yake yalikuwa nini. Mimi kwenye suala la uchumi sioni kama wakoloni walifanya mabaya makubwa. Wakoloni pia walihusika kutuharakisha kuwa na mataifa badala ya himaya ndogo ndogo za kikabila za kichifu. Mabaya ilikuwa na kuchukua ardhi kubwa kupitiliza jambo ambalo hata wapigania uhuru waliorithi nchi waliendeleza kwa kuhodhi ardhi kubwa na hawakuwa wanajua jinsi gani wanaweza kurudishia watu ardhi bila kufifisha uzalishaji.Hii inchi tulianza kuwalaumu wakoloni😀😀😀sasa hizo PROPAGANDA baada ya kupoteza ushawishi.Sasahivi wanahamisha magoli wanasema ni Nyerere wakimalizana na nyerere watamtafuta mtu mwingine wa kumtwisha zigo la mavi🤗🤗🤗
Leo mkoloni asingejenga alivyojenga sijui hii nchi ingekuwaje.Miundombinu ya watesi wetu ndo mpaka leo tunaitumia na bado inashine kuliko tulioanzisha sisi wenyewe ila hatuishi lawama.Hata usanifu wa ikulu ya Dom bado tulirudi nyuma kwenye akili alizotumia mjerumani pale magogoni😀 nabado mnamlaumu Nyerere.
Trump ajitwalie tu hii AFRICA aachane na GREENLAND na PALESTINA.We are doomed with this post-colonial history!!
📌A failed state/banana republic inatapatapa!!!
Kumbe walipa Kodi tupo wachache ndio maana Kila siku TRA wananitumia sms eti wananidai elfu 60Ni Lawama big time.
China, Cuba na Vietnam zimefail?
Mixed Economies kama Japan na Korea zimefail?
Tanzania sio kwamba hatupigia hatua, ukweli ni kwamba hatua tunapiga taratibu kulinganisha na ukubwa wetu..
Lakini wenye shida zaid ni wale walioamua kugeuza Elimu yetu madarasa ya kufyatua vyeti vya degree....
Vijana wenye degree hawataki uzalishaji mali, mdhara yake walipaji kodi ni wachache kulinganisha na walaji.
Sasa kwa nini alitaifisha biashara, mashamba na viwanda kama sehemu kubwa ya raia walikuwa ngumbaru?Hao ndiyo madocta wetu nchini ....maana wana akili kiduchu toka nyerere hadi sasa ni marais wangapi waliopita....Nyerere kafanya kazi ya kuwaondoa wakoloni kaachiwa nchi ikiwa asilimia zaidi ya 90 ya watu wake awajui kusoma wala kuandika ....hakukuwa na barabaya kutoka dar es salaam hadi kigoma unaweza kutumia week 2 au hata mwezi mzima kusafiri njiani ndiyo ufike
Hadi leo hii viongozi wapumbafu wa serikali ya ccm wanagombea viwanja oysterbay wameshindwa kuplani miji mipya iliyo ya kisasa zaidi ya aliyo acha mkoloni...toka mkoloni kaondoka ....Fukwe ya koko beach haijawai kusafishwa ndani ya maji toka mkoloni kuondoka hadi leo, ile fukwe ina ukwokwa chini ya maji na miamba tembezi na kuna ile miba ya wadudu weusi yenye kutoboa ukiogelea hadi leo ...wameshindwa kuuondoa na kumwaga mchanga safi mweupe mpya ndani ya maji na nje ya maji ....wakati ni jambo jema na jepesi tu ....Hii inchi tulianza kuwalaumu wakoloni😀😀😀sasa hizo PROPAGANDA baada ya kupoteza ushawishi.Sasahivi wanahamisha magoli wanasema ni Nyerere wakimalizana na nyerere watamtafuta mtu mwingine wa kumtwisha zigo la mavi🤗🤗🤗
Leo mkoloni asingejenga alivyojenga sijui hii nchi ingekuwaje.Miundombinu ya watesi wetu ndo mpaka leo tunaitumia na bado inashine kuliko tulioanzisha sisi wenyewe ila hatuishi lawama.Hata usanifu wa ikulu ya Dom bado tulirudi nyuma kwenye akili alizotumia mjerumani pale magogoni😀 nabado mnamlaumu Nyerere.
Trump ajitwalie tu hii AFRICA aachane na GREENLAND na PALESTINA.We are doomed with this post-colonial history!!
📌A failed state/banana republic inatapatapa!!!
Alitaifisha hayo yote na kuyarudisha serikalini ili watanzania wapate elimu kwanza na akili ndiyo waweze kusimamia mali zao hata sasa watanzania wana elimu ila ni wapumbavu hivyo sekta kama ya rasilimali zetu ilitakiwa tuziache ardhini hadi kitakapo kuja kizazi chenye akili kisicho kipumbavu ndiyo wachimbe kwa manufaa ya taifa...pia nilimaanisha kusafiri kwa gari.Sasa kwa nini alitaifisha biashara, mashamba na viwanda kama sehemu kubwa ya raia walikuwa ngumbaru?
Kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma kulikuwa na reli ya kati iliyomalizika kujengwa na wakoloni Wajerumani mwaka 1914.
Kumbe mtu mwenyewe " Mnugu"Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika.
Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC.
Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere.
Isikilize/ iangalie halafu tuambie ni wapi kakosea.
I think he is spot on!
View: https://youtu.be/H-tUQmXQ-xk?si=UryuPvS5grgzt_rr