Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Kwa harakaharaka unaweza kuhisi upo ndani ya korean drama kumbe ni kweli mtu kapewa ujumbe wakeπŸ˜ƒ
 
Kuna wanaume Wana raha sana
Hebu mtag tumpe maua yake
 
Kwa harakaharaka unaweza kuhisi upo ndani ya korean drama kumbe ni kweli mtu kapewa ujumbe wakeπŸ˜ƒ
Kuna wanaume Wana raha sana
Hebu mtag tumpe maua yake
Mimi ni mpenzi wa hizo drama, kwa kiasi kikubwa nilikuwa nadhani ni maigizo tu hadi nilipoyaishi na mimi!Nyieeeee πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ

Maua yake yasubiri, utafika wakati wake mtampa shem darling.
 
Mimi ni mpenzi wa hizo drama, kwa kiasi kikubwa nilikuwa nadhani ni maigizo tu hadi nilipoyaishi na mimi!Nyieeeee πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ

Maua yake yasubiri, utafika wakati wake mtampa shem darling.
Ametisha sana
Ukipata wa kumpenda hv mpende tu
Tuna maisha mafupi sana duniani
Let's spend loving each other
 
Samahani dada yake Miguel Ángel Gamondi, naweza tumia huu ujumbe mzuri nikamtag nao baba tikiti wangu..!?

Ahsante...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja nikusaidie kumuita aje aone ujumbe wake Mung Chris njoo kaka ex wifi anakuita
Ila hii comment imenichekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…