Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 772
- 2,150
Merry christmas and a happy new year kwa wote tunaosaka ajira
May 2024 be good to us all!
May 2024 be good to us all!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naniiii?? Hebu muite hapa nimuone🤠!Mhhh cousin nikajua umerudi kwa bwana miongozo
Akuuu sitaki kusuuuzwa mie 🤣🤣🤣🤣 tuendelee na huyohuyo uliyenayeNani huyo??? Hebu muite hapa nimuone🕺🤠!
Kwa harakaharaka unaweza kuhisi upo ndani ya korean drama kumbe ni kweli mtu kapewa ujumbe wake😃Hizi ni salam za mwanzoni, siku hizo 2 zikifika kutakuwa na salam zake special pia…
Namtakia kheri ya Christmas na mwaka mpya My one and only, Heart King, Mi Corazon, Kaka Mzuri, Last Born, Babe, Love, Mume Wangu n.k (Yote hayo namuitaga yeye 😊)
Japo umerudi ktk maisha yangu wakati nusu ya mwaka huu ikiwa imesogea kidogo, mwaka mzima nauona mzuri.
Nimesahau hadi yale madhila ya katikati ya mwaka, mwaka umekuwa na neema, mabadiliko chanya juu yangu yote sababu yako.
Nakupenda sana. Namaanisha ktk kila nilichokuambia, kila nilichokuahidi.
Wewe ndio last born wangu ktk mapenzi, wewe ndio maana halisi ya maisha na mapenzi kwangu.
Siwezi kusubiri kuishi maisha yangu yote pamoja na wewe…
Te Amo, Corazon ❤️
Jamani eeeh, simtag! Anajijuaaaa
Kuna wanaume Wana raha sanaHizi ni salam za mwanzoni, siku hizo 2 zikifika kutakuwa na salam zake special pia…
Namtakia kheri ya Christmas na mwaka mpya My one and only, Heart King, Mi Corazon, Kaka Mzuri, Last Born, Babe, Love, Mume Wangu n.k (Yote hayo namuitaga yeye 😊)
Japo umerudi ktk maisha yangu wakati nusu ya mwaka huu ikiwa imesogea kidogo, mwaka mzima nauona mzuri.
Nimesahau hadi yale madhila ya katikati ya mwaka, mwaka umekuwa na neema, mabadiliko chanya juu yangu yote sababu yako.
Nakupenda sana. Namaanisha ktk kila nilichokuambia, kila nilichokuahidi.
Wewe ndio last born wangu ktk mapenzi, wewe ndio maana halisi ya maisha na mapenzi kwangu.
Siwezi kusubiri kuishi maisha yangu yote pamoja na wewe…
Te Amo, Corazon ❤️
Jamani eeeh, simtag! Anajijuaaaa
Kwa harakaharaka unaweza kuhisi upo ndani ya korean drama kumbe ni kweli mtu kapewa ujumbe wake😃
Mimi ni mpenzi wa hizo drama, kwa kiasi kikubwa nilikuwa nadhani ni maigizo tu hadi nilipoyaishi na mimi!Nyieeeee 🙌🏾🙌🏾Kuna wanaume Wana raha sana
Hebu mtag tumpe maua yake
kwa kweliWasipumzike bwana acha mapenzi yatuue 🤣🤣🤣🤣
Ametisha sanaMimi ni mpenzi wa hizo drama, kwa kiasi kikubwa nilikuwa nadhani ni maigizo tu hadi nilipoyaishi na mimi!Nyieeeee 🙌🏾🙌🏾
Maua yake yasubiri, utafika wakati wake mtampa shem darling.
hehehehapana ndugu nijibu mafichoni
Samahani dada yake Miguel Ángel Gamondi, naweza tumia huu ujumbe mzuri nikamtag nao baba tikiti wangu..!?Hizi ni salam za mwanzoni, siku hizo 2 zikifika kutakuwa na salam zake special pia…
Namtakia kheri ya Christmas na mwaka mpya My one and only, Heart King, Mi Corazon, Kaka Mzuri, Last Born, Babe, Love, Mume Wangu n.k (Yote hayo namuitaga yeye 😊)
Japo umerudi ktk maisha yangu wakati nusu ya mwaka huu ikiwa imesogea kidogo, mwaka mzima nauona mzuri.
Nimesahau hadi yale madhila ya katikati ya mwaka, mwaka umekuwa na neema, mabadiliko chanya juu yangu yote sababu yako.
Nakupenda sana. Namaanisha ktk kila nilichokuambia, kila nilichokuahidi.
Wewe ndio last born wangu ktk mapenzi, wewe ndio maana halisi ya maisha na mapenzi kwangu.
Siwezi kusubiri kuishi maisha yangu yote pamoja na wewe…
Te Amo, Corazon ❤️
Jamani eeeh, simtag! Anajijuaaaa
Ahsante udugu wangu mwenyewe 😍😍😍Nuzulati cocastic Lamomy Tayana-wog Missy Gf Omulasil Countrywide Merry Christmas a happy new year wapendwaa!
Thanks so much cousin let's go together 2025Nuzulati cocastic Lamomy Tayana-wog Missy Gf Omulasil Countrywide Merry Christmas a happy new year wapendwaa!
Kumekucha KumekuchaMerry Christmas and a happy new year The One and only king of mine
🌹🌹🌹Merry Christmas and Happy New Year 2024 AntonniaPendaelli Shimba ya Buyenze T 1990 ELY kiduku mpapaso Kigi Makasi Mtoto halali na hela Merry Christmas and a happy new year!
Bff naomba mtag yule shem wa NYC aliyekufanya umechoka hata simu zangu uliziona km usumbufu ukaniwekea kindege 😂😂😂😂Thanks so much cousin let's go together 2025
😂😂😂😂 ngoja nikusaidie kumuita aje aone ujumbe wake Mung Chris njoo kaka ex wifi anakuitaNamtakia heri ya sikukuu ya Krismasi mpenzi wangu mpya wa humu Jf (anajijua) pamoja na uongozi mzima wa Jamii Forums
Pia niwatakie heri ya sikukuu hiyo members wote wa Jf bila kumsahau ex wangu Mung Chris
Ujumbe kwa ex wangu:
Nimempata mwanaume anayejua mapenzi na kuhonga zaidi yako.
...."nimekusahau, nakumbuka tu lako jina......"
Uwe na siku njema huko uliko kaka.
Amtag tumsaidie kwa kweli, haya na wewe mtag wako hapa 😂😂😂Mtag kabisa cousin tukusaidie kumuwish vizuri
Uongo 😂😂😂😂Hayupo humu cousin🚴🚴🚴🚴🚴🤠!