Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Hizi ni salam za mwanzoni, siku hizo 2 zikifika kutakuwa na salam zake special pia…

Namtakia kheri ya Christmas na mwaka mpya My one and only, Heart King, Mi Corazon, Kaka Mzuri, Last Born, Babe, Love, Mume Wangu n.k (Yote hayo namuitaga yeye 😊)

Japo umerudi ktk maisha yangu wakati nusu ya mwaka huu ikiwa imesogea kidogo, mwaka mzima nauona mzuri.
Nimesahau hadi yale madhila ya katikati ya mwaka, mwaka umekuwa na neema, mabadiliko chanya juu yangu yote sababu yako.

Nakupenda sana. Namaanisha ktk kila nilichokuambia, kila nilichokuahidi.
Wewe ndio last born wangu ktk mapenzi, wewe ndio maana halisi ya maisha na mapenzi kwangu.
Siwezi kusubiri kuishi maisha yangu yote pamoja na wewe…
Te Amo, Corazon ❤️

Jamani eeeh, simtag! Anajijuaaaa
Kwa harakaharaka unaweza kuhisi upo ndani ya korean drama kumbe ni kweli mtu kapewa ujumbe wake😃
 
Kuna wanaume Wana raha sana
Hebu mtag tumpe maua yake
 
Mimi ni mpenzi wa hizo drama, kwa kiasi kikubwa nilikuwa nadhani ni maigizo tu hadi nilipoyaishi na mimi!Nyieeeee 🙌🏾🙌🏾

Maua yake yasubiri, utafika wakati wake mtampa shem darling.
 
Hizi ni salam za mwanzoni, siku hizo 2 zikifika kutakuwa na salam zake special pia…

Namtakia kheri ya Christmas na mwaka mpya My one and only, Heart King, Mi Corazon, Kaka Mzuri, Last Born, Babe, Love, Mume Wangu n.k (Yote hayo namuitaga yeye 😊)

Japo umerudi ktk maisha yangu wakati nusu ya mwaka huu ikiwa imesogea kidogo, mwaka mzima nauona mzuri.
Nimesahau hadi yale madhila ya katikati ya mwaka, mwaka umekuwa na neema, mabadiliko chanya juu yangu yote sababu yako.

Nakupenda sana. Namaanisha ktk kila nilichokuambia, kila nilichokuahidi.
Wewe ndio last born wangu ktk mapenzi, wewe ndio maana halisi ya maisha na mapenzi kwangu.
Siwezi kusubiri kuishi maisha yangu yote pamoja na wewe…
Te Amo, Corazon ❤️

Jamani eeeh, simtag! Anajijuaaaa
Samahani dada yake Miguel Ángel Gamondi, naweza tumia huu ujumbe mzuri nikamtag nao baba tikiti wangu..!?

Ahsante...
 
Namtakia heri ya sikukuu ya Krismasi mpenzi wangu mpya wa humu Jf (anajijua) pamoja na uongozi mzima wa Jamii Forums
Pia niwatakie heri ya sikukuu hiyo members wote wa Jf bila kumsahau ex wangu Mung Chris

Ujumbe kwa ex wangu:
Nimempata mwanaume anayejua mapenzi na kuhonga zaidi yako.
...."nimekusahau, nakumbuka tu lako jina......"
Uwe na siku njema huko uliko kaka.
😂😂😂😂 ngoja nikusaidie kumuita aje aone ujumbe wake Mung Chris njoo kaka ex wifi anakuita
Ila hii comment imenichekesha sana
 
Back
Top Bottom