Mzee na wewe upo kwenye kundi la wasio na hela?Nendeni mkawachangie Hela badaye mletewe madharau
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee na wewe upo kwenye kundi la wasio na hela?Nendeni mkawachangie Hela badaye mletewe madharau
Ova
nme toka ku chukua ticket za 5ml mbili saivi tu .nazani zilizo sold out niza Bei chee
Sawa mwalimu endelea kufatilia miandiko. Soon na wewe utanunua tuInahitaji miujiza kwa mtuu mwenye uandishi wa namna hii kununua ticket ya 5Mil.
Hizi akili ni kikwazo kwa maendeleo ya sanaaNendeni mkawachangie Hela badaye mletewe madharau
Ova
Sisi hatuangalii uzuri Bali kipaji, ingekuwa uzuri ni tija tungemsaini tundaUmetumia mfano mbaya. Nimeelewa ila frankly speaking huyo binti uzuri 0, labda kama ana Tabia njema imbebe + na diamond kumnadi kwa nguvu Kali, ila wa kawaidaaa sana. Sema hela akizipata zitambeba.[emoji16][emoji16][emoji16]yaishe bana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"zuchu ni kama simba tu,anabebwa na VAR"alisikika hater mmoja ambaye yupo bize anasubiri show ya buku 10 ya mzee asiyependa show off