Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

From Diamond Platnumz bingwa wa promotion.

"Mwanzoni tuliweka kwa watu 500 ticket zikaisha tukaongeza ukumbi hadi watu 1000 jana usiku zikaisha tena ikabidi tutanue ukumbi hadi watu 2000 na kuset upya stage usiku wa manane nazo zimeisha."

My take; chenye thamani usipokithamini, hakithaminiki.

FB_IMG_15950801294902840.jpg
 
Umetumia mfano mbaya. Nimeelewa ila frankly speaking huyo binti uzuri 0, labda kama ana Tabia njema imbebe + na diamond kumnadi kwa nguvu Kali, ila wa kawaidaaa sana. Sema hela akizipata zitambeba.[emoji16][emoji16][emoji16]yaishe bana
Sisi hatuangalii uzuri Bali kipaji, ingekuwa uzuri ni tija tungemsaini tunda
 
Back
Top Bottom