Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Ushauri:Wenye Mafanikio siku zote hawachukiwi na hata ukiwachukia unajipa kazi na unakondesha afya ya moyo wako
Hebu nipishe hukooh, yupi huyo aliefanikiwa n muimba taarabu mpya mjini? Wa kulilia kupeana mkono na Uncle? Khaaaaaaaah hebu nitoleeeeh kiki mie. Alaaaaaaaaaah
 
Nimekumbuka ule usiku wa diamond forever mlimani city wema alipomtuza diamond hela akazikataa,, nawaza ule usiku wema alilala vipi, nje ya mada
🤣🤣🤣🤣🤣 Nasikia pia ameenda kwenye hili show
 
Nami nimeshiriki kuzimaliza hizi tickets, nimenunulia family yangu yote yenye watu Saba pamoja Na beki tatu watu,
 
Zembwela anaharibu show, amaropoka ropoka na kuleta mambo ya uswahilini
 
True ni sawa na wwe kumiliki smartphone ya laki na nusu,Hali mwingine kwake ni mtaji tosha wa kununua mbuzi au kuku kijijini
Amini usiamini tickets zote zitaisha, kuna mambo yanashangaza sana. Kuna watu hiyo mil 5 ni kama elfu 5 tu kwao.
 
Back
Top Bottom