Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
mkuu endelea kukataa kila jambo...ipo siku utajikuta peke yakoHaiwezekani kutokea shoo ya billion 10 bongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu endelea kukataa kila jambo...ipo siku utajikuta peke yakoHaiwezekani kutokea shoo ya billion 10 bongo.
Usiamini2,000×5,000,000=10,000,000,000[emoji848]
Vipi mbona unashangaa mkuuAisee..
U sound bitter😫Huhuhuhuh km nawaona kina fulani wana gala gala kwa nderemo, kumbe fix tyuuuh, hebu tutoleeni kiki sie hapa msieeeeeew.
So?U sound bitter[emoji31]
Hebu nipishe hukooh, yupi huyo aliefanikiwa n muimba taarabu mpya mjini? Wa kulilia kupeana mkono na Uncle? Khaaaaaaaah hebu nitoleeeeh kiki mie. AlaaaaaaaaaahUshauri:Wenye Mafanikio siku zote hawachukiwi na hata ukiwachukia unajipa kazi na unakondesha afya ya moyo wako
Siyo zote 5M2,000×5,000,000=10,000,000,000[emoji848]
🤣🤣🤣🤣🤣 Nasikia pia ameenda kwenye hili showNimekumbuka ule usiku wa diamond forever mlimani city wema alipomtuza diamond hela akazikataa,, nawaza ule usiku wema alilala vipi, nje ya mada
Zimeanza kuisha kwanza Ni hizo za million 5 ndio ujue maisha sio fair kabisa.Basi sold out inawezekana kwa 50
Na beki nne wanne, beki tano watano, beki mbili wawiliNami nimeshiriki kuzimaliza hizi tickets, nimenunulia family yangu yote yenye watu Saba pamoja Na beki tatu watu,
Zembwela anaharibu show, amaropoka ropoka na kuleta mambo ya uswahilini
Halafu dogo mwenyewe kuimba ajui Hana nyota ya mziki.Unaichoma hela yote hioElf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?
Zuchu yuko overpriced
Amini usiamini tickets zote zitaisha, kuna mambo yanashangaza sana. Kuna watu hiyo mil 5 ni kama elfu 5 tu kwao.