Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

safi sana mkuu naona hukuona chochote kizuri kwenye show upongeze bali we unaonaga negative tu. Hongera sana mkuu.

Hayo ya kusifia nimekuachia wewe.

Critics ni far better kuliko kukuvisha kilemba cha ukoka.

Halafu acheni kuwapandisha mashoga kama yule lokole jukwaani,mnaharibu maadili ya jamii na vijana.
 
Kwaiyo unataka kusema show ilinoga YouTube na sio ukumbin au[emoji3]
We jamaa una ushabiki mpk unafumba macho kwenye ukweli acha nikuache tu madhari mie uhalisia nimeuona sina la kuongeza
 
Mwanamke mzima una chuki kwa mwanamke mwenzako
Nyie ndio mnawapoteza hao wana usafini ,kama wamefanya hovyo mkiambiwa ukweli mnasema ni chuki ,mbona watu wanasema kwamba mbosso aliperform vizuri why "Chuchu"? Mimi sijaangalia hiyo performance ya Zuchu kama ningeangalia ningetoa maoni ,mimi sio mnafiki siwezi kumsema vibaya zuchu coz sikuangalia na sina mda tena wa kupoteza kuiangalia kwenye youtube ili nitoe maoni "ITOSHE KUSEMA" maoni ya wadau waliyotoa yanatosha na nimeconclude kwamba Show za ZUCHU ilikuwa MBOVU.
 
Zuchu hana excuse kwa show mbovu ya jana. Amezaliwa na kulelewa na nguli wa performance Khadija Kopa, hata hajifunzi kwa mama yake? Miaka yote minne aliyosema alikuwa kwenye mafunzo huko usafini ndio utopolo gani ule?

Ieleweke nampenda sana mama yake, nimejikuta nampa sapoti sababu ya mama yake ila kaniangusha sana. Anapayuka kama yuko kilabuni ati anaperfom live na bendi!

Tazama mama yake aliposhika Mic, sawa uzoefu unachangia ila roho yangu ilisuuzika, she is the best. Ndiye pekee aliyeuchezesha ukumbi mzima bila kumsahau Jide huyu ni kiboko inafahamika, Mbosso na Dullah Makabila alinishangaza, anajua sana.
Sio tu kwamba mamaake pekee ni nguli km unavyodhani bali babaake pia ni nguli zaidi ya mama ake
Na asilimia kubwa ya mafanikio ya khadija kopa yapo nyuma ya babaake zuchu
Ambaye ni mwimbaji mtunzi na mpangilia ala za muziki
na taarabu kari zote za EAST AFRCA merody mpk nzanzibar star km hakukuwa na mkono wa marehemu Manju au alawi ama mzee yusuph basi alikuwa huyo babaake zuchu
na ni mmoja wapo kati ya waloazisha BAND ya TAARAB ya EASTAFRCA MERODY
ni bendi ambayo ilichangia taarabu iwe imodern km jina la hiyo band na ipendwe na kila rika kila tabaka nazungumzia edhi ya kinyago cha mpapule fisadi kiwembe na zinginezo zikiwa znatrend

Hvyo mtoto amezaliwa ndani ya familia ya muziki ila muziki wa taarabu
km marehemu kakaake OMARY angekuwa hai na taarabu ingekuwa inatrend km miaka ile basi huyo mtoto angekuwa moto moto wa kuotea mbali

jina lake halisi huyo mtoto anaitwa
ZUHURA OTHMAN SOUD
hilo jina la OTHMAN SOUD km wewe mtoto wa 80s to 90s au hilo jina hata kama utakuwa ukuwahi kulisikia lakini zile modern taarabu za MERODY kama ulikuwa unazipenda km ukirudisha kumbukumbu nyuma ukichukua kasha la Tape kasseti kanda za radio ukisoma nyuma nyimbo katika zile nyimbo 4 utaona kitu km hichi

Muimbaji- SABAHA SALUM MUCHACHO
Shaili- OTHMAN SOUD
muziki- MAHMOUD AL-ALAW
 
We jamaa una ushabiki mpk unafumba macho kwenye ukweli acha nikuache tu madhari mie uhalisia nimeuona sina la kuongeza
We jamaa bwana...nimekuuliza swal unakimbilia ushabik..

Umesema ulikuepo ukumbin na show haikunoga.. sasa nimekuulza tena inawezekanaje show inoge YouTube alaf ukumbin iboe ? We ulienda ukumbi gan master?[emoji3]
 
Ile ni Branding Affair.

Zaidi ya 98.9% ya wahudhuriaji wameingia BURE!

= = =
Usishangae kuanzia sasa akaanza kuweka viingilio vya Tsh 20,000 per person au Tsh 3M-5M kwa Promoters na wahudhuriaji wakajiona "Wamesaidiwa Sana" au Kupewa Bonge la Discount.
 
We jamaa bwana...nimekuuliza swal unakimbilia ushabik..

Umesema ulikuepo ukumbin na show haikunoga.. sasa nimekuulza tena inawezekanaje show inoge YouTube alaf ukumbin iboe ? We ulienda ukumbi gan master?[emoji3]
Tatizo unataka unachokiwaza wewe na mwingine akiwaze mi nilikuwepo sijaona hiyo sifa iliyoandikwa hapo juu sasa ww unataka niseme imenoga kitu ambacho kwangu hakiwezekanigi unachopaswa kuamini ni kuwa kila mmoja ameiona kwa mtazamo wake hivyo ili uwe huru ondoa ushabiki kisha toa maoni
 
Kabisa Jide was much better kuliko huyu Zuchu. Ndo maana wasafi walikuwa wanasita kumsainisha kwa miaka minne. Believe me asingekuwa mtoto wa Khadija Kopa asingesainishwa pale WBC.Frankly speaking kuwa mtoto wa Khadija Kopa ndo kumemfanya ainginzwe WBC
Naunga mkono. Huyo Zuchu mimi naona anafaa kuimba taarab. WCB wangemchukua Maua au Nandy unless kuna vikwazo vingine. Ka Ruby kanajishaua sana kale na madharau sijui ka mtu ka wapi kanajiona ni kakubwaa.
 
Tatizo unataka unachokiwaza wewe na mwingine akiwaze mi nilikuwepo sijaona hiyo sifa iliyoandikwa hapo juu sasa ww unataka niseme imenoga kitu ambacho kwangu hakiwezekanigi unachopaswa kuamini ni kuwa kila mmoja ameiona kwa mtazamo wake hivyo ili uwe huru ondoa ushabiki kisha toa maoni
Huu sio ushabik...ni mtazamo kama ww unavyoona...kama kwako iliboa basi ndo mzik mkuu...kama Simba na yanga
 
Back
Top Bottom