mfyayukulela
Senior Member
- May 30, 2017
- 167
- 234
Sawa mkuu.Siyo zote 5M
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.Siyo zote 5M
Yaaah nimeambiwa kuna wengine wemeingia kwa 100K.Haiwezekani kutokea shoo ya billion 10 bongo.
Nasikia hilo swala la kiburi. Naona anazidi kukonda tuuKwanini wewe usimsign huyo Ruby? tatizo la Ruby ana kiburi lakini pia ajui kutunga nyimbo hiyo ndio inafanya awe na nyota ya kunguni
Ivi ni kwa usawa huu kuna mtu anatoa million kwa ajili ya show.
Kimekuja na meli hichoWakati anaperformance,,,,,,,,,,,,yayayaaauaaahaaaa
UKISOMA COMMENTS HAPA KUNA ROHO ZA KWANINI NA HUSDA TUPU
safi sana mkuu naona hukuona chochote kizuri kwenye show upongeze bali we unaonaga negative tu. Hongera sana mkuu.
Hawa majama wanakurupuka. Tiketi chache sana ndio zilikuwa za 1mil.unataka kusema tiketi zote zilikua za milioni moja?
Bora uwaeleweshe hawa maviazi.Hapana, hesabu hiyo haitatoa wastani, tumia 50,000 x 2000 = 100,000,000/- Kwa sababu hats hiyo 1mil na 5mil ni bei za meza sio mtu mmoja.
We jamaa una ushabiki mpk unafumba macho kwenye ukweli acha nikuache tu madhari mie uhalisia nimeuona sina la kuongezaKwaiyo unataka kusema show ilinoga YouTube na sio ukumbin au[emoji3]
Nyie ndio mnawapoteza hao wana usafini ,kama wamefanya hovyo mkiambiwa ukweli mnasema ni chuki ,mbona watu wanasema kwamba mbosso aliperform vizuri why "Chuchu"? Mimi sijaangalia hiyo performance ya Zuchu kama ningeangalia ningetoa maoni ,mimi sio mnafiki siwezi kumsema vibaya zuchu coz sikuangalia na sina mda tena wa kupoteza kuiangalia kwenye youtube ili nitoe maoni "ITOSHE KUSEMA" maoni ya wadau waliyotoa yanatosha na nimeconclude kwamba Show za ZUCHU ilikuwa MBOVU.Mwanamke mzima una chuki kwa mwanamke mwenzako
Sio tu kwamba mamaake pekee ni nguli km unavyodhani bali babaake pia ni nguli zaidi ya mama akeZuchu hana excuse kwa show mbovu ya jana. Amezaliwa na kulelewa na nguli wa performance Khadija Kopa, hata hajifunzi kwa mama yake? Miaka yote minne aliyosema alikuwa kwenye mafunzo huko usafini ndio utopolo gani ule?
Ieleweke nampenda sana mama yake, nimejikuta nampa sapoti sababu ya mama yake ila kaniangusha sana. Anapayuka kama yuko kilabuni ati anaperfom live na bendi!
Tazama mama yake aliposhika Mic, sawa uzoefu unachangia ila roho yangu ilisuuzika, she is the best. Ndiye pekee aliyeuchezesha ukumbi mzima bila kumsahau Jide huyu ni kiboko inafahamika, Mbosso na Dullah Makabila alinishangaza, anajua sana.
We jamaa bwana...nimekuuliza swal unakimbilia ushabik..We jamaa una ushabiki mpk unafumba macho kwenye ukweli acha nikuache tu madhari mie uhalisia nimeuona sina la kuongeza
Tatizo unataka unachokiwaza wewe na mwingine akiwaze mi nilikuwepo sijaona hiyo sifa iliyoandikwa hapo juu sasa ww unataka niseme imenoga kitu ambacho kwangu hakiwezekanigi unachopaswa kuamini ni kuwa kila mmoja ameiona kwa mtazamo wake hivyo ili uwe huru ondoa ushabiki kisha toa maoniWe jamaa bwana...nimekuuliza swal unakimbilia ushabik..
Umesema ulikuepo ukumbin na show haikunoga.. sasa nimekuulza tena inawezekanaje show inoge YouTube alaf ukumbin iboe ? We ulienda ukumbi gan master?[emoji3]
Naunga mkono. Huyo Zuchu mimi naona anafaa kuimba taarab. WCB wangemchukua Maua au Nandy unless kuna vikwazo vingine. Ka Ruby kanajishaua sana kale na madharau sijui ka mtu ka wapi kanajiona ni kakubwaa.Kabisa Jide was much better kuliko huyu Zuchu. Ndo maana wasafi walikuwa wanasita kumsainisha kwa miaka minne. Believe me asingekuwa mtoto wa Khadija Kopa asingesainishwa pale WBC.Frankly speaking kuwa mtoto wa Khadija Kopa ndo kumemfanya ainginzwe WBC
Huu sio ushabik...ni mtazamo kama ww unavyoona...kama kwako iliboa basi ndo mzik mkuu...kama Simba na yangaTatizo unataka unachokiwaza wewe na mwingine akiwaze mi nilikuwepo sijaona hiyo sifa iliyoandikwa hapo juu sasa ww unataka niseme imenoga kitu ambacho kwangu hakiwezekanigi unachopaswa kuamini ni kuwa kila mmoja ameiona kwa mtazamo wake hivyo ili uwe huru ondoa ushabiki kisha toa maoni