Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Kiujumla nilichokiona wengi humu mnafikili tunaopinga hizo takwimu tuna chuki na wcb ila kiujumla hiyo takwimu aliyoitoa kiuhalisia haipo hivyo tukubali kukosolewa kwa sababu jamaa ameikuza sana wakati tuliokuwemo ukumbini tumeona mambo mengi kama msifiwa sauti kukatika
Ata tulioangalia kwenye TV show haikuwa nzuri kihivyo, ilikua standard tu ya kawaida.
1. Wasafi walikurupuka kuandaa hii show, hawakujipa muda wa kutosha kufanya maandilizi na kuplan show vizuri.

2. Zuchu bado ni msanii Mdogo ivyo ni mchanga kwenye mambo mengi anahitaji muda.

3. Mboso alijitaidi kufanya ila hakuwa na kitu cha kushtua ni vile tu nyimbo zake nzuri na znapendwa sana ila performance wise he didn't give his 100

4. Lava lava, gigy money, Karen na Dullah makabila hakukua na kitu pale Utopolo mtupu. Ni kama walifatwa kwenye viti vyao wakaombwa wafidiefidie magap kwa kuperform. Live performance inahitaji band au mazoez ya kutosha na DJ wako. Swala la kugandamiza kwenye playblack sio.

5. Lady JD na Hadija Kopa hawa ndo waliipamba na kuipa hii show value
 
ZUCHU ANA SURA NZITO SANA JAMANI. YAANI KILA NIKIMUANGALIA NAPATA KICHEFUCHEFU. MSURA MZITO KAMA UJI WA TOGWA.
Hapo umefeli sista. Usimshambulie mtu as if mna personal issues. Kumkosoa kwa minajili ya mambo yako nje ya uwezo wake ni kumkufuru Mola. Binafsi nishaacha hii dhambi.

Turudi kwenye mada, mimi pia bado siridhishwi na kipaji cha Zuchu. Naona anafaa aimbe taarab. Huku ana mbwelambwela.
 
Mimi pia sijaangalia lakini kwa namna alivyoelezea mleta mada inaonekana ilikuwa nzuri sana

Sijui ipi ni ipi

Mleta mada ni mlamba miguu wa WCB, uchambuzi wake siyo objective.

Ndiyo maana kila anayekataa anamjibu kwamba ana chuki.

Sina uhakika kama huwa analipwa kwa hiyo kazi, huwa anasifia kila kitu cha WCB na ukimbishia anakujibu kwamba una chuki.
 
Mleta mada ni mlamba miguu wa WCB, uchambuzi wake siyo objective.

Ndiyo maana kila anayekataa anamjibu kwamba ana chuki.

Sina uhakika kama huwa analipwa kwa hiyo kazi, huwa anasifia kila kitu cha WCB na ukimbishia anakujibu kwamba una chuki.

Oooh!basi leo tuiangalie youtube,kuna mtu nimeona huko juu anasema inapatikana huko
 
Back
Top Bottom