mtwa kinte
Senior Member
- Sep 2, 2015
- 144
- 259
Ata tulioangalia kwenye TV show haikuwa nzuri kihivyo, ilikua standard tu ya kawaida.Kiujumla nilichokiona wengi humu mnafikili tunaopinga hizo takwimu tuna chuki na wcb ila kiujumla hiyo takwimu aliyoitoa kiuhalisia haipo hivyo tukubali kukosolewa kwa sababu jamaa ameikuza sana wakati tuliokuwemo ukumbini tumeona mambo mengi kama msifiwa sauti kukatika
1. Wasafi walikurupuka kuandaa hii show, hawakujipa muda wa kutosha kufanya maandilizi na kuplan show vizuri.
2. Zuchu bado ni msanii Mdogo ivyo ni mchanga kwenye mambo mengi anahitaji muda.
3. Mboso alijitaidi kufanya ila hakuwa na kitu cha kushtua ni vile tu nyimbo zake nzuri na znapendwa sana ila performance wise he didn't give his 100
4. Lava lava, gigy money, Karen na Dullah makabila hakukua na kitu pale Utopolo mtupu. Ni kama walifatwa kwenye viti vyao wakaombwa wafidiefidie magap kwa kuperform. Live performance inahitaji band au mazoez ya kutosha na DJ wako. Swala la kugandamiza kwenye playblack sio.
5. Lady JD na Hadija Kopa hawa ndo waliipamba na kuipa hii show value