Threads 1,000 hazitoshi ku-prove ubaya wa Magufuli bali fact moja tu

Ukiacha Jaribio la Ki Shetani lililo fail la Kutaka Kumuua Lissu, Watu Kama Sabaya ni Reflection tosha ya Jinsi Mwendakuzimu alivyokuwa Katili, Laghai, Jambazi,Muongo, Muovu na Ibilisi.
 
Ukiacha Jaribio la Ki Shetani lililo fail la Kutaka Kumuua Lissu, Wetu Kama Sabaya ni Reflection tosha ya Jinsi Mwendakuzimu alivyokuwa Katili, Laghai, Muongo, Muovu na Ibilisi.
Uhusiano wa hayo yote na Magufuli uwekwe wazi na isiwe habar za kusadikika tu.
Kubenea aliomba msamaha kwa kujaribu kumdhuru mwana-ufipa mwenzake.
 
Shida mnakuwa general sana.
Umoja kwa maana ipi?
Tupe mikakati yako ungekuwa raisi hiyo ambayo ingetuvusha inayoeleweka bila kutumia ujumla.
hujui maana ya Umoja ? Umoja ni nguvu.., nchi inajengwa na wananchi kwa umoja wao kwa kufanya kazi, kuchangia kodi na kuhamasika huwezi kuwa na umoja kwa kutangaza wao na sisi..., huwezi kuwa na umoja kwa kuendesha nchi kama unaendesha chama au tabaka la watu..., kwa kufanya hivyo ni kutokupata nguvu ya baadhi ya watu unnessarily (unless kama unataka kutumia njia ya divide and rule ili kuchonganisha watu watafute mchawi baina yao)

Mtu pekee anayeweza kuongoza ni yule anayeunganisha wote kwa kuwahamisha na sio kuwaburuza (inagawa waburuzaji wanahitajika ila sio kwenye uskani bali kama wasaidizi) juu kabisa anahitajika mwanadiplomasia wa kuweza kuunganisha nguvu za wote to the maximum huwezi kujenga nyumba moja wakati watu wananyanganyana fito inabidi kuwaongoza wafanye kazi pamoja na sio kuwakebehi
 
Kuwahamasishwa vipi wewe ungewahamsishaje kujenga huo umoja ?
 
Jamaa si amewaachia nchi yenu wazee, pambaneni tu na hali
Wameshindwa kupambana. Mgao wa umeme na maji ambao haujatokea miaka mitano iliyopita. Hatukuwa kusikia mgao wa maji kufika hadi Mbezi beach na Mikocheni. Hapo ujue hali ni tata. Kupanda kwa bei za mafuta ya kula, vifaa vya ujenzi, gesi na leo tumetangaziwa kwamba ukiwa na shs elfu 10 hutapata hata lita 4 za petrol.
alikuwa na weaknesses zake, ila tunamkumbuka kwa mazuri
 
Kama unapenda kweli magufuli mwache apumzike. Familia yake haipendi kabisa kwa Hayati kuongelewa mitandaoni.
 
JPM alikuwa ni moto wa Nyuklia. Watu wamejaribu kuokoteza ujinga mwingi ili kufuta Legacy ya JPM lakini wameambulia patupu.
Kwa kifupi ni kwamba, bila aibu watu wazima na akili zao wanashindana na mtu asiyeweza kujitetea lakini wameshindwa pakubwa. Aibu tupu.
 
Kabisa mkuu.
 
Ni mjinga kama wewe ndo hawezi kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…