Threads 1,000 hazitoshi ku-prove ubaya wa Magufuli bali fact moja tu

Mnaanza kujitokeza, nendeni Mirembe msaidiwe
It is better to stay silent kama unaona unachoenda kuongea ni ujinga kuliko kukaa kimya itakusaidia.
It is not my fault it is your own fault chochote unacho-comment hakina uhusiano na mimi
bali kina uhusiano na wewe moja kwa moja kwani kina onyesha kichwani kwako kuna vitu gan vimejaa.
Kitabu ch four agreement kimeelezea vizuri sana kuhusu matatizo yako kapitie kitakusaidia.
NB:the standard measurement of human being starts in the head.
 
Samia alikuwa wapi kipindi hicho- huo ni unafiki.
Aliyechoma ni Magufuli? Watumishi ndani ya system samia amewafanya nini kama walikengeuka taratibu?

magufuli alikuwa rais bora kuliko marais waliotawala na watakao tawala..
Magufuli anakuwa mwanamapinduzi na raisi bora wa karne.
 
Kaka hujaelewa mfano wako. Kwanza kabisa "100 authors against Einstein" si kitabu chake Enstein!! Ulikuwa mkusanyiko wa maoni ya kumpinga. Hapo aljibu "si lazima kuleta majina 100, ingetosha kama mmoja anaweza kuonyesha nadharia yangi si sahihi".
Tena haifai kulinganisha nadharia ya kisayansi na kazi ya mwanasiasa. Kama nadharia si sahihi, unatafuta mfano wa kinyume, basi umepinga (priciple of falsification).
Huwezi kufanya vile kuhusu kazi ya mwanasiasa. Kila mtu ana mchanganyiko wa mazuri na mabaya, mafanikio na kinyume. Azimio ni juu yako. Hata mkorofi aliyeharibu taifa lake kama Idd Amin ametenda mema kadhaa maishani mwake. Hata mshujaa kama Nelson Mandela alifanya makosa. Mfano mmoja hautoshi kamwe.
 
Uko sahihi...
Einstein amewajibu na majibu yake ukimsoma walter isaacson kwenye kitabu biography ya Einstein amejibu hilo
Naelewa ilikuwa ni sayansi about theory of relativity.
 
Lakini pia hatu jadili kuhusu kufeli au kufaulu kwa falsafa za Magufuli.
Bali ubaya wa Magufuli je kweli alikuwa na ubaya huo au la?
Na hapo ndipo tunahitaji facts kuthibitisha hilo na sio siasa.
Kama watu wanasema Magufuli alikuwa chizi, alikuwa muovu tunahitaji uthibitisho
kuthibitisha hayo wanayosema.
 
Mjinga mama yako
Umejisika raha gani hapo?
Maanaake humjui mama angu na unaexpect nitaumia kwa kusema ivo(mind illusion).
Kama unamatusi mapya nayaomba ila sio haya nayoyasikia kila siku nimeyazoea.
i will be gratefull ukifanya ivo.
ukomo wako wa kufkiri umeishia hapo
 
Sijui unaposema hakuunganisha watu unamaanisha nini.
MAGUFULI ndio kiongozi aliyejitahidi kuungsnisha watu baada ya NYERERE.
Alipambana sana kupunguza gap kati ya walionancho na wasionacho.
Kibaya zaidi walionacho hawapati kwa njia halali isipokuwa kwa ubabe na kudhurumu wanyonge hili alipambana nalo haswaa.
Alijua ukweli kuwa masikini Nchi hii ambao ndio wengi wanaonewa sana na wanaporwa haki zao
Hii ndio kitu pekee inayoweza kuleta umoja au utengano wakitaifa.
 
Ukiacha Jaribio la Ki Shetani lililo fail la Kutaka Kumuua Lissu, Watu Kama Sabaya ni Reflection tosha ya Jinsi Mwendakuzimu alivyokuwa Katili, Laghai, Jambazi,Muongo, Muovu na Ibilisi.
Huyo Lissu ni nani ktk nchi hii?
Mtu aliyetuonesha usaliti wa wazi wazi kuanzia kwenye mchakato wa katiba mpya, hadi uchaguzi 2015. Pia kwenye sheria mpya yamadini leo tukio lake lakutengeneza ndio unamsingizia Magufuli?
To hell with Lissu!
 
Rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…