TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

Targeted Audience ya Youtube ni ipi na Tiktok ni ipi... na ni nani yupo behind Youtube (Owner) na hio Youtube inamsaidia vipi katika package yake ya information kwa Ujumla ?

Ukijua hayo utagundua kwamba hata Whatsapp ingawa haiwaingizii Facebook pesa directly ila ni appendage ya larger game Ukigundua hayo utajua kwamba Youtube is there to stay na sio sababu ya u-Youtube wake bali ni sababu ya corporation behind it...
 
Upo seriazi au unachangamsha jamvi?

Tik Tok na Youtube contents zake unazifananisha kweli? Sometimes tuwe seriazi na vitu seriazi, sio kila wakati ni mzaha mzaha tu kwa vitu visivyo vya mzaha mzaha!!
 
Monetization kwa YouTube hapo ndo mchawi...hakuna watu wanalipa vzr online kama YouTube
 
Upo seriazi au unachangamsha jamvi?

Tik Tok na Youtube contents zake unazifananisha kweli? Sometimes tuwe seriazi na vitu seriazi, sio kila wakati ni mzaha mzaha tu kwa vitu visivyo vya mzaha mzaha!!
TikTok ndo habari ya mjini, kila mtu siku hizi anaingia TikTok kupata utamu, sisi tunaangalia utamu sio content
 
Mtoa mada umepata wapi ujasiri wa kuilinganisha YouTube na vitu vya Ajabu ajabu?

Kwa taarifa yako tik too nice Cha mtoto Sana kwa YouTube na kamwe haiwezi kuufikia uwezo wa wa YouTube hata robo.

Tik tok Ni mtandao wa watoto wa kike kubinunulia makalio
 
Mbona Mimi Sina TikTok miaka sasa
 
YouTube anainamishwa na TikTok kwa umaarufu, YouTube hana umaarufu kama kazeeka vile
 
Umesema ukweli kbsa mkuu
 
1.Sio kweli kwamba kila kijana ana TikTok ....
2. Sawa vijana wanaweza wakawa wanatumia TikTok kuliko YouTube lakini Kuna vitu huwezi vipata TikTok lazma uzipate YouTube.
3. Hamna mtu ambae ana TikTok afu Hana YouTube ila wapo wenye YouTube ila hawana TikTok
 

TikTok baba lao watu wanalala njaa kwasababu ya kupeleka hela za bando TikTok
 
Kwa maoni yangu ticktok inakuja Kasi sana. Hata hao YouTube wenyewe wanaelewa hili
Tiktok huwa naifananisha na Instagram ila siyo YouTube. Nilipakua app ya tikitok ikabidi niifute tu. Uchafu mtupu, kama unapenda mambo ya ovyo ovyo ingia Tikitok, instagram, facebook. Mtu anaimba wimbo wa Amelowa wa Harmonize huku na kichupi. Youtube unakula copyright strike.
Youtube ni kisima cha maarifa. Kama una mambo yako, weka Youtube kwanza content zako zinakuwa copyright, hayupo mtu anayetumia jasho la mwenzake. Ukifikisha watch hours 4000 na subscribers 1000 unaanza kula hela. Tikitok unalipwa?
Usirudie tena kuifananisha Youtube na Tikitok, utachekwa.
 
TikTok baba lao watu wanalala njaa kwasababu ya kupeleka hela za bando TikTok
Usirudie tena kuifananisha Youtube na Tikitok. Youtube ina heshima yake ambapo tikitok haifiki hata 5%. Tikitok ni kwaajili ya kuweka Status WhatsAPP tu
 
Usirudie tena kuifananisha Youtube na Tikitok. Youtube ina heshima yake ambapo tikitok haifiki hata 5%. Tikitok ni kwaajili ya kuweka Status WhatsAPP tu
TikTok ndo inaongoza kuwa na watumiaji wengi wewe upo wapi hulioni hili?
 
YouTube ina utamu gani watu wanataka kuburudika wewe unasema wasome tena maarifa kwani hawakwenda shule?
 
Hili la kuiba data ni shambulio la kibiashara zaidi, hata hivyo hata Youtube anaweza kuwa anaiba data pia, hili sinunui
 
Mjadala ufungwe. You nailed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…