Timu iliyoshika nafasi ya tatu Ligi Kuu msimu uliopita ndiyo imebaki kimataifa

Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.

Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.

Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Hilo ndio jibu, simba inahujumiwa na gsm na yanga yake. Timu zaidi ya 7 zinaichangia simba, ni kama Russia na nato
 
Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.

Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.

Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Hapa Sasa utalaumiwa Kwa kuleta Uzi utafikiri wewe ndo uliondoa timu zingine
 
Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Kwani kikosi cha simba kilichomaliza nafasi ya tatu msimu ulioisha ndio hiki?

Camara,Hamza,Balua,Mutale,Debora,Mukwala,Ateba na Ahoua walikuwepo kwenye kikosi kilichomaliza nafasi ya tatu?

Timu yenu robo tatu ni mpya halafu mnasema mnahujumiwa.

Mnashangaza sana makolo msiojua mpira.

No wonder mkaitwa mbumbumbu.
 
Ukiwa mtu wa soka hii si ajabu, ni kawaida sana,
Kwanza timu ya simba iliyomaliza nafasi ya tatu msimu ulioisha sio hii.

Kwahiyo sio ajabu simba hii mpya ikibakia shirikisho sababu ina ubora fulani ukifananisha na Ile iliyomaliza nafasi ya tatu.

Simba imeondosha karibu robo tatu ya wachezaji wake wa kikosi cha msimu ulioisha na kusajli wachezaji wapya.

Hakuna cha hujuma wala nini.
 
Inaonekana Yanga ndo Wana haki ya kulalama nchi hii, Kwa hiyo Simba ikiwa na wachezaji wapya ni dhambi??
 
Sio Dhambi.

Kolo mwenzio anasema simba inahujumiwa kwa sababu msimu ulioisha imemaliza nafasi ya tatu na mwaka huu ndio timu pekee iliyobaki mashindano ya CAF.

Mimi nikatoa hoja kwamba Simba iliyomaliza nafasi ya tatu msimu ulioisha siyo hii ya sasa kwenye ligi na shirikisho.

Ile ilikuwa mbovu hii angalau kuna improvement sasa kuhujumiwa kunatoka wapi?
 
Sasa ni hivi, alikuwa anauliza ikiwa Kuna hujuma au la, maana Azam alienda club bingwa akatolewa hatua za awali, Yanga ameenda alichokiambulia sote tuliona Ingawa Yanga ilijitahidi Kwa hiyo mleta Uzi alipandisha Uzi wake Kwa mfumo wa swali.Harafu ifike hatua Yanga aukubali ukubwa wa Simba kimataifa na Simba ikubali uchanga wa Yanga kimataifa.
 
Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.

Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.

Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Inahujumiwa sana na Bodi ya ligi,waamuzi na timu zinazofadhiliwa na GSM kwa kutotoa upinzani wa kutosha kwa Yanga.Yanga ana pointi 42 kabla ligi haijaanza.Hushangai Makocha wa Dodoma Jiji na Prisons wanacheka kwenye Press Conference baada ya kufungwa goli 4?
Wakicheza na Simba wanapewa ahadi za pesa.Ratiba inakuwa sio rafiki.Simba wanacheza mfululizo.Angalia mwishoni mwa raundi ya kwanza Yanga kacheza mechi 3 nyumbani.
 
Sasa ni hivi, alikuwa anauliza ikiwa Kuna hujuma au la, maana Azam alienda club bingwa akatolewa hatua za awali, Yanga ameenda alichokiambulia sote tuliona Ingawa Yanga ilijitahidi Kwa hiyo mleta Uzi alipandisha Uzi wake Kwa mfumo wa swali.Harafu ifike hatua Yanga aukubali ukubwa wa Simba kimataifa na Simba ikubali uchanga wa Yanga kimataifa.
Andika vizuri basi kolo.

Sio unaandika kama unakimbizwa na mangungu au unaandika kama mtoto wa chekechea unashindwa hata kupanga aya.

Halafu wakubwa hawashiriki shirikisho wakubwa wapo klabu bingwa na ukubwa ni kuchukua makombe sio kuishia robo kisha ujiite mkubwa!

Utakuwa unashangaza sana kolo kama unajiita mkubwa upo shirikisho na hauna kombe lolote la maana la kimataifa.
 
Uandishi wa insha niliacha kitambo huko Darasa la tatu, huko ndo Huwa tunazingatia Aya, vituo, herufi, kubwa na ndogo n.k
Kama wakubwa wapo klabu bingwa basi jibu linabaki kuwa lile lile Yanga ni mchanga kimataifa kwa 7bu hayupo klabu bingwa Wala shirikisho.
 
Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.

Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.

Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Kwenye ligi kuu inahujumiwa sana. Mfano akina Gusa Achia Bahasha Upewe Goli (GABUG) wanaimuza sana Simba kwenye ugawaji wa bahasha kwa waamuzi na kwa timu pinzani.

Hapo sijasema kuhusu sindano.

Kimataifa kule hakuna bahasha wala mwamuzi wa kuongea nae nje ya uwanja ni juhudi zako binafsi kama za Simba
 
Back
Top Bottom