MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Hata mtu wa mwisho darasani anaweza kua tajiri maisha nikupanga tu na bahati yako piaSimba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.
Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.
Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?