Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Sio hii ila kuna wachezaji wameondoka ndio waliokua wanafanya simba iwe mbovu, mfano wa wachezaji hao ni Mwenda na Chama.Kwanza timu ya simba iliyomaliza nafasi ya tatu msimu ulioisha sio hii.
Kwahiyo sio ajabu simba hii mpya ikibakia shirikisho sababu ina ubora fulani ukifananisha na Ile iliyomaliza nafasi ya tatu.
Simba imeondosha karibu robo tatu ya wachezaji wake wa kikosi cha msimu ulioisha na kusajli wachezaji wapya.
Hakuna cha hujuma wala nini.