Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Na cha kushangaza zaidi ni kwamba, pamoja na ubovu wa kikosi cha simba cha msimu jana, ila klabu bingwa iliishia robo fainali sawa na yanga iliyokuwa na kikosi boraSio Dhambi.
Kolo mwenzio anasema simba inahujumiwa kwa sababu msimu ulioisha imemaliza nafasi ya tatu na mwaka huu ndio timu pekee iliyobaki mashindano ya CAF.
Mimi nikatoa hoja kwamba Simba iliyomaliza nafasi ya tatu msimu ulioisha siyo hii ya sasa kwenye ligi na shirikisho.
Ile ilikuwa mbovu hii angalau kuna improvement sasa kuhujumiwa kunatoka wapi?