Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Wewe mbona una kichwa kigumu sana, inaonekana ulipokuwa shule, waalimu wako walikuwa wanapata shida kukueleweshaUkubwa wako kuliko Yanga upo kwenye nini?
Wewe na Yanga nani anaongoza kuchukua mataji ya ligi kuu?
Mashindano ambayo nyinyi mnalingia kwa sasa(shirikisho)ambayo baadhi ya viongozi wenu waliyaita ya kina mama Yanga kaingia fainali na ushahidi usiokuwa wa kuokoteza upo.
Nyinyi simba mmefika fainali ya mashindano gani ya CAF?
Ukubwa wenu upo kwenye nini au kuishia robo fainali?
Si nimeshakueleza kuwa ukubwa wa simba kwa yanga uko kwenye hatua wanazofikia huko kimataifa, kwamba hatua ambayo yanga hadi ifike ni hadi iwe na kikosi bora, simba inafika ikiwa na kikosi kibovu
Nakukumbusha mafanikio ni makombe na siyo kucheza fainali, kama standard yenu ni fainali ya shirikisho basi na sisi standard yetu ni robo fainali ya klabu bingwa mara tano mfululizo, au unasemaje hapo mwakakundi
Halafu idadi ya makombe ya ligi siyo kipimo pekee cha timu kuwa bora, maana ligi za ndani zinatofautiana ubora na kushinda ubingwa wa ligi za ndani kunategemea mambo mengi, kipimo sahihi ni ligi za kimataifa kwa sababu huko zinakutana timu tofauti toka kwenye ligi tofautitofauti
Hata epl man city ina makombe mengi ya ligi kuliko chelsea lakini bado chelsea ni kubwa na bora kuliko man city, licha ya kwamba misimu ya hivi karibuni chelsea imekuwa ikifanya vibaya ila haishushi ubora wake, hiyo ni kwa sababu ya takwimu za kimataifa ushiriki na mafanikio ya chelsea ucl na kwingineko ni makubwa kuliko ya man city
Nimeweka ili usitafute kisingizio cha kukwepa hoja yangu, na pia kwa sababu nimeona una kichwa kizito, na kigumu kuelewa na kuchanganua hata hoja nyepesi kabisaNafurahi umebadilika kwa kuweka aya kwenye andiko lako.
Hii nimeipenda.