Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hilo ndio jibu, simba inahujumiwa na gsm na yanga yake. Timu zaidi ya 7 zinaichangia simba, ni kama Russia na natoSimba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.
Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.
Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Hapa Sasa utalaumiwa Kwa kuleta Uzi utafikiri wewe ndo uliondoa timu zingineSimba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.
Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.
Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Tayari Kadhi Mkuu 1 keshasema ni swali la kitotoπππHapa Sasa utalaumiwa Kwa kuleta Uzi utafikiri wewe ndo uliondoa timu zingine
Kwani kikosi cha simba kilichomaliza nafasi ya tatu msimu ulioisha ndio hiki?Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Kwanza timu ya simba iliyomaliza nafasi ya tatu msimu ulioisha sio hii.Ukiwa mtu wa soka hii si ajabu, ni kawaida sana,
Inaonekana Yanga ndo Wana haki ya kulalama nchi hii, Kwa hiyo Simba ikiwa na wachezaji wapya ni dhambi??Kwanza timu ya simba iliyomaliza nafasi ya tatu msimu ulioisha sio hii.
Kwahiyo sio ajabu simba hii mpya ikibakia shirikisho sababu ina ubora fulani ukifananisha na Ile iliyomaliza nafasi ya tatu.
Simba imeondosha karibu robo tatu ya wachezaji wake wa kikosi cha msimu ulioisha na kusajli wachezaji wapya.
Hakuna cha hujuma wala nini.
Sio Dhambi.Inaonekana Yanga ndo Wana haki ya kulalama nchi hii, Kwa hiyo Simba ikiwa na wachezaji wapya ni dhambi??
Sasa ni hivi, alikuwa anauliza ikiwa Kuna hujuma au la, maana Azam alienda club bingwa akatolewa hatua za awali, Yanga ameenda alichokiambulia sote tuliona Ingawa Yanga ilijitahidi Kwa hiyo mleta Uzi alipandisha Uzi wake Kwa mfumo wa swali.Harafu ifike hatua Yanga aukubali ukubwa wa Simba kimataifa na Simba ikubali uchanga wa Yanga kimataifa.Sio Dhambi.
Kolo mwenzio anasema simba inahujumiwa kwa sababu msimu ulioisha imemaliza nafasi ya tatu na mwaka huu ndio timu pekee iliyobaki mashindano ya CAF.
Mimi nikatoa hoja kwamba Simba iliyomaliza nafasi ya tatu msimu ulioisha siyo hii ya sasa kwenye ligi na shirikisho.
Ile ilikuwa mbovu hii angalau kuna improvement sasa kuhujumiwa kunatoka wapi?
Inahujumiwa sana na Bodi ya ligi,waamuzi na timu zinazofadhiliwa na GSM kwa kutotoa upinzani wa kutosha kwa Yanga.Yanga ana pointi 42 kabla ligi haijaanza.Hushangai Makocha wa Dodoma Jiji na Prisons wanacheka kwenye Press Conference baada ya kufungwa goli 4?Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.
Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.
Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Andika vizuri basi kolo.Sasa ni hivi, alikuwa anauliza ikiwa Kuna hujuma au la, maana Azam alienda club bingwa akatolewa hatua za awali, Yanga ameenda alichokiambulia sote tuliona Ingawa Yanga ilijitahidi Kwa hiyo mleta Uzi alipandisha Uzi wake Kwa mfumo wa swali.Harafu ifike hatua Yanga aukubali ukubwa wa Simba kimataifa na Simba ikubali uchanga wa Yanga kimataifa.
Nafikiri ndio utaratibu wa simba. Hakuna jipya kwa hiliSimba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.
Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.
Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Uandishi wa insha niliacha kitambo huko Darasa la tatu, huko ndo Huwa tunazingatia Aya, vituo, herufi, kubwa na ndogo n.kAndika vizuri basi kolo.
Sio unaandika kama unakimbizwa na mangungu au unaandika kama mtoto wa chekechea unashindwa hata kupanga aya.
Halafu wakubwa hawashiriki shirikisho wakubwa wapo klabu bingwa na ukubwa ni kuchukua makombe sio kuishia robo kisha ujiite mkubwa!
Utakuwa unashangaza sana kolo kama unajiita mkubwa upo shirikisho na hauna kombe lolote la maana la kimataifa.
Kwenye ligi kuu inahujumiwa sana. Mfano akina Gusa Achia Bahasha Upewe Goli (GABUG) wanaimuza sana Simba kwenye ugawaji wa bahasha kwa waamuzi na kwa timu pinzani.Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.
Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.
Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
πSema inashiriki Luza Cup.