Timu iliyoshika nafasi ya tatu Ligi Kuu msimu uliopita ndiyo imebaki kimataifa

Sio hii ila kuna wachezaji wameondoka ndio waliokua wanafanya simba iwe mbovu, mfano wa wachezaji hao ni Mwenda na Chama.
 
Kwani kuna sehemu Yanga wamesema wao ni wakubwa afrika?

Ninyi makolo ndo mnalazimisha ukubwa ambao hamna.
 
ilikuwa ni jambo la muda tu sasa mmeanza kufunguka mbinu zenu dhidi ya simba sc..
 
Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.

Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.

Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Your browser is not able to display this video.
 
Siyo kwamba tunalazimsha ukubwa, ni vitu vinavyojidhihirisha tu timu imeongoza kundi ktk kundi lake michuanoya caf Cha ajabu Timu ya wananchi imeshindwa kushika hata nafasi ya pili.
Kolo kuongoza kundi sio ishara ya ukubwa usiwe na kichwa kizito kuelewa.

Ukubwa ni kuchukua makombe sawa ndugu kolo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…