Na cha kushangaza zaidi ni kwamba, pamoja na ubovu wa kikosi cha simba cha msimu jana, ila klabu bingwa iliishia robo fainali sawa na yanga iliyokuwa na kikosi boraSio Dhambi.
Kolo mwenzio anasema simba inahujumiwa kwa sababu msimu ulioisha imemaliza nafasi ya tatu na mwaka huu ndio timu pekee iliyobaki mashindano ya CAF.
Mimi nikatoa hoja kwamba Simba iliyomaliza nafasi ya tatu msimu ulioisha siyo hii ya sasa kwenye ligi na shirikisho.
Ile ilikuwa mbovu hii angalau kuna improvement sasa kuhujumiwa kunatoka wapi?
Kwahiyo hapa hoja yako nini?Na cha kushangaza zaidi ni kwamba, pamoja na ubovu wa kikosi cha simba cha msimu jana, ila klabu bingwa iliishia robo fainali sawa na yanga iliyokuwa na kikosi bora
Hoja ni kwamba hatua ambayo yanga inafika ikiwa na kikosi bora simba ina uwezo wa kufika ikiwa na kikosi kibovu kabisaKwahiyo hapa hoja yako nini?
Mbona unaniaminisha kwamba na wewe ni mzito ktk kuelewa mambo madogo? Ukubwa na ubabe wa Simba ni pamoja na record ambazo timu ya wananchi hamna na Timu za Africa mashabiki hazina.Kolo kuongoza kundi sio ishara ya ukubwa usiwe na kichwa kizito kuelewa.
Ukubwa ni kuchukua makombe sawa ndugu kolo?
If it is so keep it up that how you brain is, but all in all Simba still be the role mode and giant of football Tanzania and East Africa in generalNo Simba SC is not that much better.
It gets to improve from day to day.
Kwani simba mlipokuwa na kikosi kizuri mkachukua ubingwa wa NBC mara nne mfululilzo mliwahi kuvuka robo kuingia nusu fainali ya CAF?Hoja ni kwamba hatua ambayo yanga inafika ikiwa na kikosi bora simba ina uwezo wa kufika ikiwa na kikosi kibovu kabisa
Record gani za kuishia robo bila kombe?record ambazo timu ya wananchi hamna na Timu za Africa mashabiki hazina.
Usichokielewa ni kwamba hata wewe hapo ulipo Kuna improvement na record ulizonazo ambazo wadogo zako hawana mbona unachelewa kuelewa lakini?Record gani za kuishia robo bila kombe?
Hizo azikufanyi kuwa mkubwa.
Sasa si bora hata simba iliyofika robo mara tano mfululizo wewe na kikosi chako bora kilichochukua ubingwa mara tatu mfululizo hiyo robo umefika mara ngapi na ukiwa na kikosi kibovu kimataifa ulifika wapi, kumbuka tulikubaliana kutolewa ni kutolewa tu hakuna kutolewa kwa aibu wala kwa heshima yani kufa ni kufa tu hakuna kufa kiume wala kike hata simba iliwahi kutolewa robo na wydad kwa mikwaju ya penati hakuna jipya hapo, halafu kama kule kutolewa kwa simba (iliyokuwa mbovu) msimu uliopita unakuita ni kutolewa kwa aibu vipi kutolewa kwa yanga (yenye ubora) msimu huu utakuitejeKwani simba mlipokuwa na kikosi kizuri mkachukua ubingwa wa NBC mara nne mfululilzo mliwahi kuvuka robo kuingia nusu fainali ya CAF?
Halafu wewe ulitoka kwa aibu na kosi lako bovu.
Al Akhly alikupiga nje ndani.
Yanga ilitoka kwa penati tena kukiwa na figisu za kukataliwa bao la wazi la Ki Aziz.
Hakuna mfanano wowote wa jinsi Yanga ilivyotoka na Simba ilivyotoka.
Hapana mimi Yanga nahitaji makombe.Usichokielewa ni kwamba hata wewe hapo ulipo Kuna improvement na record ulizonazo ambazo wadogo zako hawana mbona unachelewa kuelewa lakini?
Pangilia aya vizuri napata tabu kusoma maandishi yaliyobandana.Sasa si bora hata simba iliyofika robo mara tano mfululizo wewe na kikosi chako bora kilichochukua ubingwa mara tatu mfululizo hiyo robo umefika mara ngapi na ukiwa na kikosi kibovu kimataifa ulifika wapi, kumbuka tulikubaliana kutolewa ni kutolewa tu hakuna kutolewa kwa aibu wala kwa heshima yani kufa ni kufa tu hakuna kufa kiume wala kike hata simba iliwahi kutolewa robo na wydad kwa mikwaju ya penati hakuna jipya hapo, halafu kama kule kutolewa kwa simba (iliyokuwa mbovu) msimu uliopita unakuita ni kutolewa kwa aibu vipi kutolewa kwa yanga (yenye ubora) msimu huu utakuiteje
Sasa utapataje makombe kama unaishia makundi usipoangalia hata Azam atakuzidi kimataifaHapana mimi Yanga nahitaji makombe.
Rekodi uchwara za kuishia robo sizitaki.
Hata wewe Azam anaweza akakupita.Sasa utapataje makombe kama unaishia makundi usipoangalia hata Azam atakuzidi kimataifa
Hilo nalijua ndiyo maana naheshimu record zinazowekwa na Timu husika unatakiwa kupunguza vumbi kichwani Ili kuelewa vitu vidogo vidogo kama hiviHata wewe Azam anaweza akakupita.
Azam akichukua klabu bingwa tu tayari amekupita sababu huna kombe lolote la kueleweka la CAF.
Unafahamu hilo?
Hahaha, mkishapigwa spana na kushindwa hoja, mnakimbilia kubadili mada kama hiviPangilia aya vizuri napata tabu kusoma maandishi yaliyobandana.
Halafu hata nyinyi mlipokuwa na kikosi kizuri mlishindwa kabisa kutoboa nusu.
Lakini bado mnajiona wakubwa!
Huko Kimataifa ambako hakuna bahasa,Yanga alifika mpaka fainali!Kwenye ligi kuu inahujumiwa sana. Mfano akina Gusa Achia Bahasha Upewe Goli (GABUG) wanaimuza sana Simba kwenye ugawaji wa bahasha kwa waamuzi na kwa timu pinzani.
Hapo sijasema kuhusu sindano.
Kimataifa kule hakuna bahasha wala mwamuzi wa kuongea nae nje ya uwanja ni juhudi zako binafsi kama za Simba
Ukubwa wako kuliko Yanga upo kwenye nini?Hahaha, mkishapigwa spana na kushindwa hoja, mnakimbilia kubadili mada kama hivi
Mimi kazi yangu ni kuwasilisha hoja tu, masuala ya paragraphs na punctuations, nimewaachia ninyi waalimu wa writing skills
Ofcourse sisi ni wakubwa ukilinganisha na yanga, na ndicho kinachoongelewa hapa hatujasema sisi ni wakubwa africa nzima, bali ni wakubwa kuliko yanga acha kukaza fuvu
Nafurahi umebadilika kwa kuweka aya kwenye andiko lako.Hahaha, mkishapigwa spana na kushindwa hoja, mnakimbilia kubadili mada kama hivi
Mimi kazi yangu ni kuwasilisha hoja tu, masuala ya paragraphs na punctuations, nimewaachia ninyi waalimu wa writing skills
Ofcourse sisi ni wakubwa ukilinganisha na yanga, na ndicho kinachoongelewa hapa hatujasema sisi ni wakubwa africa nzima, bali ni wakubwa kuliko yanga acha kukaza fuvu
Miaka yote?Ukiwa mtu wa soka hii si ajabu, ni kawaida sana,
Unadhani mie mshabiki wa timu gani?Miaka yote?
Rejea kauli ya kocha wenu, anaona ligi rahisi kwa sababu mnahonga timu zinginena marefa.
Aende timu nyingine ndiyo ataelewa ugumu wa ligi. Acheni janja janja. Jakaya alikwisha waonya hizo tabia.