M MtoMsimbazi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2009 Posts 1,800 Reaction score 3,091 Jan 23, 2025 #81 Allen Kilewella said: Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF. Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam. Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu? Click to expand... Hata mtu wa mwisho darasani anaweza kua tajiri maisha nikupanga tu na bahati yako pia
Allen Kilewella said: Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF. Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam. Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu? Click to expand... Hata mtu wa mwisho darasani anaweza kua tajiri maisha nikupanga tu na bahati yako pia