Timu ya uchunguzi wa Makosa makubwa kutoka ofisi ya DCI yatumwa kuchunguza Mauaji ya Ali Kibao wa CHADEMA

Yaani wanajichunguza
 
polisi mnataka kujichunguza wenyewe
 
With all these things that're happenin right know its just crazy
 
Aisee haya mambo tukizidi kuyaendekeza ipo siku yatafika pabaya zaidi


Nilichojifunza, chochote kitakachotokea iwe peke yako au mbele ya watu usikubali kuondoka potelea pote


Pengine Marehemu aliamini sababu watu wanashuhudia basi maisha yake yapo salama sababu kila mtu kaona

Kumbe firauni hana muamana


Ifike wakati tukomeshe huu upuuzi kama alivyofanya yule Jamaa wa Tarime, wakijileta tu unawachapa risasi
 
Mzee alitoa neno moja tu “mtanikumbuka”
 
Nchi hii nani mwenye mamlaka ya kublock gari na kumteka mtu? Police tz ,kwanza mpaka sasa wananchi tunawachukia sana , itoshe kusema , imani kwenu kwa wananchi haipo , hakuna jambazi anaweza simamisha basi , hakuna kama sio mwenye mamlaka .

Haya sasa baba yangu kauliwa nioneshe baba mwingine , babu kauliwa nioneshe babu mwingine ( machozi ya damu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…