Timu ya uchunguzi wa Makosa makubwa kutoka ofisi ya DCI yatumwa kuchunguza Mauaji ya Ali Kibao wa CHADEMA

Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.

Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu ya Ally Mohamed Kibao kuhusishwa kutoka kwenye basi la Tashrif na kuchukuliwa na watu ambao hawakuweza kutambuliwa na kwamba uchunguzi ulianza baada ya kupokelewa taarifa hiyo.

Baada ya kutolewa taarifa za kuonekana mwili wa mtu mwanaume ambaye hakuweza kutambuliwa kwa wakati huo ni mwili wa nani huko Ununio Jijini Dar es Salaam, utambulisho umefanyika kwa mujibu wa taratibu na kubainika ni mwili wa Ally Mohamed Kibao.

Soma Pia:
Aidha, uchunguzi wa mwili wa marehemu (postmortem) umefanywa leo tarehe 08/09/2024 na Madaktari bingwa kwa kushirikisha familia.

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hili la kusikitisha na timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu kwenye timu ya awali ili kuhakikisha waliofanya mauaji haya wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
Mazito kwa kina Utekaji wa Kimkakati : Vikosi maalum vya Task Force vilivyo nje ya mfumo rasmi, na vikosi hivyo kupewa mamlaka kupitia sheria iliyotungwa na bunge inayoruhusu member wa task force kuua bila kufikishwa mbele ya vyombo vya haki yaani mahakama

View: https://m.youtube.com/watch?v=rNfxIHqdzME
 
TOKA MAKTABA:

TOKA MKATABA :

10 February 2023

Tume ya Haki Jinai
waanza kuhoji Wakuu wa Polisi na wakuu wa .... ikiwa pamoja na kuangalia utendaji wa taasisi zilizopo ktk mfumo wa haki jinai.... ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=26myjssYvAo

Mwenyekiti jaji Chande anasema kuna upungufu au mmomonyoko wa imani za wananchi kuhusu taasisi zilizopo ktk mfumo wa haki jinai pia jaji Chande awaomba raia kutoa maoni yao kuhusu utendaji wa taasisi hizo .. kwa kutuma maoni yao ktk anuani za mawasiliano za tume hiyo zilizopo twitter, FB, email, WhatsApp na simu.

Pia Toka maktaba :
Taarifa iliyotolewa jana Januari 6, 2023 na Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus imewataja wajumbe hao;
Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi Ombeni Sefue. Wajumbe wengine ni pamoja na:

  • Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dk Eliezer Feleshi,
  • Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Utumishi) Dk Laurean Ndumbaro,
  • Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP mstaafu Said Mwema
  • na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP mstaafu Balozi Ernest Mangu.
  • Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Dk Edward Hosea,
  • Askari Polisi mstaafu, Saada Makungu,
  • Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco Omar Issa,
  • Ofisa mwandamizi Ofisi ya Rais Baraka Leonard
  • na Mkurugenzi wa Utafiti katika Chuo Kikuu cha Zanzibar na Rais mstaafu wa Chama cha Wanasheria Zanzibar, Yahya Khamisi Hamad
RIPOTI YA TUME YATUA KATIKA DAWATI LA MHESHIMIWA RAIS
1725820346174.png

Hotuba ya Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai akiwasilisha taarifa rasmi ya Tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini tarehe 15 July 2023.

Tume imebaini uwepo na mamlaka nyingi za ukamataji kiasi inakuwa ngumu kujua watuhumiwa waliokamatwa wapo wapi, vituo gani, nani kawakamata, ndugu wafahamu walipo jamaa zao walionyakuliwa na watu wanaodai ni wasiojulikana ..... ripoti ya mwenyekiti wa tume Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman amesema akisoma ripoti hiyo kwa rais mbele ya viongozi wa serikali na wakuu wa vyombo vya usalama walioalikwa Ikulu kusikiliza ripoti hiyo...
1725820382930.png
 
06 September 2024​

SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WAANDAMIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 2024​

View: https://m.youtube.com/watch?v=jsMEnkMCoc4

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo kutekeleza kwa vitendo na kuiishi falsafa ya R NNE (4R) ya Rais Dk. Samia S. Hassan ili kufikia malengo yaliyokusudiwa.
1725820577516.png

Amesema hayo leo Septemba 06, 2024 wakati alipofungua Semina elekezi kwa viongozi waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Weruweru River Lodge, mkoani Kilimanjaro, Tanzania.

Amesema kuwa ni muhimu kuifahamu vyema falsafa hiyo ya Rais Dkt. Samia Hassan na kuitekeleza kwa vitendo. “Nina imani kubwa kwamba uongozi wa juu wa Wizara umeielewa vizuri falsafa hiyo, na semina hii elekezi ni ushahidi tosha wa kuitekeleza kwa vitendo”.

“Falsafa hii inajikita katika masuala ya Maridhiano (Reconciliation), Ustahamilivu (Resilience), Mageuzi (Reforms), na Kujenga upya Taifa (Rebuilding).

Hivyo, nitoe wito kwa washiriki ambao ni Maafisa Waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake kuendelea kushiriki na kuishi kikamilifu falsafa hii,”amesema.

1725820642176.png

Ameongeza kuwa semina elekezi hiyo ni sehemu muhimu kwa maendeleo ya kitaaluma na kitaasisi kwa maafisa waandamizi wa vyombo vya usalama, na husaidia katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi na kwa kufuata viwango vya kitaaluma na kisheria.

“Semina elekezi hutoa fursa kwa maafisa waandamizi kujifunza mbinu na taratibu mpya katika utendaji wa majukumu yao. Hii inajumuisha teknolojia mpya, mbinu bora za ulinzi na usalama, na mbinu za kisasa za kupambana na uhalifu,”.

Kwa Upande wake Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, engineer Hamad Masauni amemshukuru Rais Dk. Samia Hassan juu ya nia yake ya dhati kwa kufanya maboresho ya Wizara hiyo na vyombo vyake ikiwemo Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto pamoja na Taasisi ya NIDA.
1000628878-1024x535.jpg

“Maboresho haya yanahusisha upandishaji vyeo wa kihistoria wa Maafisa, Wakaguzi na Askari wapatao 50,971 pia kuongeza Bajeti ya Miradi ya Maendeleo kutoka mwaka 2021/22 hadi 2024/25 ni Shilingi 262.2 ambayo ni sawa na asilimia 954.59 ya ongezeko la Bajeti ya Miradi ya Maendeleo,”amesema.

Amesema kuwa Ongezeko hilo la bajeti limesaidia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa vitendea kazi ikiwemo magari, mitambo, boti, vifaa vya TEHAMA na kadhalika
 
Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.

Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu ya Ally Mohamed Kibao kuhusishwa kutoka kwenye basi la Tashrif na kuchukuliwa na watu ambao hawakuweza kutambuliwa na kwamba uchunguzi ulianza baada ya kupokelewa taarifa hiyo.

Baada ya kutolewa taarifa za kuonekana mwili wa mtu mwanaume ambaye hakuweza kutambuliwa kwa wakati huo ni mwili wa nani huko Ununio Jijini Dar es Salaam, utambulisho umefanyika kwa mujibu wa taratibu na kubainika ni mwili wa Ally Mohamed Kibao.

Soma Pia:
Aidha, uchunguzi wa mwili wa marehemu (postmortem) umefanywa leo tarehe 08/09/2024 na Madaktari bingwa kwa kushirikisha familia.

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hili la kusikitisha na timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu kwenye timu ya awali ili kuhakikisha waliofanya mauaji haya wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
Hao wanajua kila kitu, watakachoenda kufanya ni kutengeneza taarifa ya upotoshaji. Na kwa kilichomkuta huyo ni dhahiri hata akina Soka na wenzake hawako hai. Ile sheria mpya ya usalama wa taifa haya ndio matokeo yake.
 
Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.

Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu ya Ally Mohamed Kibao kuhusishwa kutoka kwenye basi la Tashrif na kuchukuliwa na watu ambao hawakuweza kutambuliwa na kwamba uchunguzi ulianza baada ya kupokelewa taarifa hiyo.

Baada ya kutolewa taarifa za kuonekana mwili wa mtu mwanaume ambaye hakuweza kutambuliwa kwa wakati huo ni mwili wa nani huko Ununio Jijini Dar es Salaam, utambulisho umefanyika kwa mujibu wa taratibu na kubainika ni mwili wa Ally Mohamed Kibao.

Soma Pia:
Aidha, uchunguzi wa mwili wa marehemu (postmortem) umefanywa leo tarehe 08/09/2024 na Madaktari bingwa kwa kushirikisha familia.

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hili la kusikitisha na timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu kwenye timu ya awali ili kuhakikisha waliofanya mauaji haya wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.

Hawa hawa walizoshinda kuchunguza tukio la Lissu....!? Unless, huyo Mzee ana undungu huko Kizimkazi.
 
Hatuko salama , usicheke na kima , vunja Jeshi lote la Polisiccm.
 
Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.

Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu ya Ally Mohamed Kibao kuhusishwa kutoka kwenye basi la Tashrif na kuchukuliwa na watu ambao hawakuweza kutambuliwa na kwamba uchunguzi ulianza baada ya kupokelewa taarifa hiyo.

Baada ya kutolewa taarifa za kuonekana mwili wa mtu mwanaume ambaye hakuweza kutambuliwa kwa wakati huo ni mwili wa nani huko Ununio Jijini Dar es Salaam, utambulisho umefanyika kwa mujibu wa taratibu na kubainika ni mwili wa Ally Mohamed Kibao.

Soma Pia:
Aidha, uchunguzi wa mwili wa marehemu (postmortem) umefanywa leo tarehe 08/09/2024 na Madaktari bingwa kwa kushirikisha familia.

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hili la kusikitisha na timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu kwenye timu ya awali ili kuhakikisha waliofanya mauaji haya wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
Sasa roho zao zimefurahi nafsi zao zimeridhika kukuona ukiwa mwili mtupu usio na pumzi,Hujawahi kuwatendea baya lolote,kosa lako ni kuwa mwanachama wa CHADEMA.

Tutakutana tena Mbinguni Kamanda.😭😭😭
 
Hayawani wakubwa hawa mashetani. Wawatume watu kwenda kuteka na kuua halafu baadaye wanaunda tume ya kuchunguza!! Labda wanataka wajue nani anajua tukio lote kwa kina ili naye wammalize.
 
Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.

Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu ya Ally Mohamed Kibao kuhusishwa kutoka kwenye basi la Tashrif na kuchukuliwa na watu ambao hawakuweza kutambuliwa na kwamba uchunguzi ulianza baada ya kupokelewa taarifa hiyo.

Baada ya kutolewa taarifa za kuonekana mwili wa mtu mwanaume ambaye hakuweza kutambuliwa kwa wakati huo ni mwili wa nani huko Ununio Jijini Dar es Salaam, utambulisho umefanyika kwa mujibu wa taratibu na kubainika ni mwili wa Ally Mohamed Kibao.

Soma Pia:
Aidha, uchunguzi wa mwili wa marehemu (postmortem) umefanywa leo tarehe 08/09/2024 na Madaktari bingwa kwa kushirikisha familia.

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hili la kusikitisha na timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu kwenye timu ya awali ili kuhakikisha waliofanya mauaji haya wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
Drama never end.

Tulia Akson alizuia mjadala na sasa anagonga glass kwa haya waliyoyafanikisha
 
Sasa roho zao zimefurahi nafsi zao zimeridhika kukuona ukiwa mwili mtupu usio na pumzi,Hujawahi kuwatendea baya lolote,kosa lako ni kuwa mwanachama wa CHADEMA.

Tutakutana tena Mbinguni Kamanda.😭😭😭
Hangaya
Tulia Akson
Majaliwa
Mpango

Ukimya wao ni jibu tosha.

Hatuna JWTZ ya wananchi bali ya viongozi

Polisi na TISS ndo washauaga mchezo
 
Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.

Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu ya Ally Mohamed Kibao kuhusishwa kutoka kwenye basi la Tashrif na kuchukuliwa na watu ambao hawakuweza kutambuliwa na kwamba uchunguzi ulianza baada ya kupokelewa taarifa hiyo.

Baada ya kutolewa taarifa za kuonekana mwili wa mtu mwanaume ambaye hakuweza kutambuliwa kwa wakati huo ni mwili wa nani huko Ununio Jijini Dar es Salaam, utambulisho umefanyika kwa mujibu wa taratibu na kubainika ni mwili wa Ally Mohamed Kibao.

Soma Pia:
Aidha, uchunguzi wa mwili wa marehemu (postmortem) umefanywa leo tarehe 08/09/2024 na Madaktari bingwa kwa kushirikisha familia.

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hili la kusikitisha na timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu kwenye timu ya awali ili kuhakikisha waliofanya mauaji haya wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
Huu ni mwendelezo wa sanaa.
 
kifo ni fumbo lisilozoeleka kwa wanadamu, kinatisha na kutia hofu sana..

kwa dhuluma ya uhai na utu aliodhulumiwa kimyama sana ka
manda Ally Mohamed Kibao, kiongozi mwandamizi wa chadema..

ni wazi,
kwa mwenye taarifa sahihi za kweli dhidi ya unyama aliotendewa kamanda Ally, halafu akakaa kimya na kuuficha ushahidi na ukweli huo muhimu kwa wahusika kukamatwa, basi ajue anashiriki kudhulumu zaidi haki na stahiki za kamanda Ally Mohamed Kibao na ataulizwa na kuwajibika mbele za Mungu siku ya mwisho ya hukumu..

huruma na uchungu wako visaidie kuwabainisha na kufanikisha kukamatwa kwa wauaji wa kinyama wa kamanda Ally, na visaidie pia haki na stahiki za kamanda Ally Mohamed Kibao kupatikana..

R.I.P kamanda Ally Mohamed Kibao🤭
 
Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.

Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu ya Ally Mohamed Kibao kuhusishwa kutoka kwenye basi la Tashrif na kuchukuliwa na watu ambao hawakuweza kutambuliwa na kwamba uchunguzi ulianza baada ya kupokelewa taarifa hiyo.

Baada ya kutolewa taarifa za kuonekana mwili wa mtu mwanaume ambaye hakuweza kutambuliwa kwa wakati huo ni mwili wa nani huko Ununio Jijini Dar es Salaam, utambulisho umefanyika kwa mujibu wa taratibu na kubainika ni mwili wa Ally Mohamed Kibao.

Soma Pia:
Aidha, uchunguzi wa mwili wa marehemu (postmortem) umefanywa leo tarehe 08/09/2024 na Madaktari bingwa kwa kushirikisha familia.

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hili la kusikitisha na timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu kwenye timu ya awali ili kuhakikisha waliofanya mauaji haya wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
Hili lilitekelezwa?
20240909_043302.jpg
 
Jeshi la Polisi limesema Ofisi ya DCI imetuma Timu ya uchunguzi wa Makosa makubwa kwenda kuongeza nguvu upelelezi wa mauwaji ya Ally Mohamed Kibao

..umenikumbusha tukio la Lissu umma uliambiwa hivihivi.

..leo ni miaka saba tangu ili timu ya wachunguzi itumwe kuongeza nguvu ktk uchunguzi, na hakuna majibu.
 
Back
Top Bottom