Timu ya uchunguzi wa Makosa makubwa kutoka ofisi ya DCI yatumwa kuchunguza Mauaji ya Ali Kibao wa CHADEMA

Inasikitisha. Nilidhani tumeshatoka humu. Kumbe bado tuko humu. Au ndio tunakwenda humu?
Yeyote mwenye kumpenda mama yetu Tanzania wa Amani hawezi kuliona hili ni kawaida. Ila nachojua tabia moja ya damu ni kwamba huwa inasema, inalia, inatoa sauti. Aonaye sirini anajua wa kumlipa
 
Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.

Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu ya Ally Mohamed Kibao kuhusishwa kutoka kwenye basi la Tashrif na kuchukuliwa na watu ambao hawakuweza kutambuliwa na kwamba uchunguzi ulianza baada ya kupokelewa taarifa hiyo.

Baada ya kutolewa taarifa za kuonekana mwili wa mtu mwanaume ambaye hakuweza kutambuliwa kwa wakati huo ni mwili wa nani huko Ununio Jijini Dar es Salaam, utambulisho umefanyika kwa mujibu wa taratibu na kubainika ni mwili wa Ally Mohamed Kibao.

Soma Pia:
Aidha, uchunguzi wa mwili wa marehemu (postmortem) umefanywa leo tarehe 08/09/2024 na Madaktari bingwa kwa kushirikisha familia.

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hili la kusikitisha na timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu kwenye timu ya awali ili kuhakikisha waliofanya mauaji haya wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
Mbona wanajizungusha sana,watuhumiwa ni Polisi
 
Kufuatia kutekwa na kuuawa kikatili kwa bwana au ndugu ALI KIBAO AMBAE ALISHUSHWA KWENYE GARI KAMPUNI YA TASHRIF na watu anbao walijifanya kuwa ni polisi kumbe sio wao kwa mujibu wa polisi makao makuu dodoma!

Na pia hii inatupa picha kuwa hii nchi imeoza imebaki kunuka tu ,ki vip nasema hivi how come polisi wanatoa statement nyepesi kiasi kile.????? Kiasi kwamba mtu yeyote anaweza kujifanya polisi na kufanya mauaji na asichukuliwe hatua hata na wananchi mana wamelala usingizi wa pono

Na pia hapa tunapata fundisho kuwa hawa wanaokuja kukamata kumbe sio polisi kwa sababu wakishafanya yao polisi makao makuu wanakanusha kuhusika moja kwa moja.

Je nini cha kufanya.??????

Kinachoendelea kule kenya na gen z huu wa hawa watu wa serikali wasio taka kuwajibika ambao wanaona wapinzani wao kama vikwazo
 
Kufuatia kutekwa na kuuawa kikatili kwa bwana au ndugu ALI KIBAO AMBAE ALISHUSHWA KWENYE GARI KAMPUNI YA TASHRIF na watu anbao walijifanya kuwa ni polisi kumbe sio wao kwa mujibu wa polisi makao makuu dodoma!

Na pia hii inatupa picha kuwa hii nchi imeoza imebaki kunuka tu ,ki vip nasema hivi how come polisi wanatoa statement nyepesi kiasi kile.????? Kiasi kwamba mtu yeyote anaweza kujifanya polisi na kufanya mauaji na asichukuliwe hatua hata na wananchi mana wamelala usingizi wa pono

Na pia hapa tunapata fundisho kuwa hawa wanaokuja kukamata kumbe sio polisi kwa sababu wakishafanya yao polisi makao makuu wanakanusha kuhusika moja kwa moja

Je nini cha kufanya.??????

POPOTE PALE WATAKAPO ONEKANA WATU AINA HII AMBAO WANACHUKUA WATU KWA NGUVU NA KUJIFANYA POLISI BASI HUYO ANAEKAMATWA APIGE WIMBO WA TAIFA MARA MOJA ILI HAWA MABWANA WAPATE HAKI YAO YA KIKATIBA AMBAYO NI ILE ILE KAMA TUNAVYOJUA NDUGU ZANGU. MWENYE PANGA NYUNDO SURURU BISIBISI ,NA SHOKA MANA HAWA WASHATUONA WANANCHI KAMA MAHANITHI

HII HAIWEZEKANI CCM WANATUONA WANGE***SE SASA MANA HAKUNA CHA KUWAFANYA. INAUMA SANA MTU AMEKAA KWENYE KITI HUKO ANAPANGA MTU FULANI AULIWE MTU FULANI ATEKWE ALAFU WANAKUJA KUTOA STATEMENT VERY SIMPLE.

KINACHOENDELEA KULE KENYE NA GEN Z NI UHANITHI HUU HUU WA HAWA WATU WA SERIKALI WASIO TAKA KUWAJIBIKA AMBAO WANAONA WAPINZANI WAO KAMA VIKWAZO
unafikiri hao watu wangekuwa wanakuja mikono mitupu polisi wangolopoka na kubwabwaja upuuzi huo???
 
Screenshot_20240908-204047.jpg
 
Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.

Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu ya Ally Mohamed Kibao kuhusishwa kutoka kwenye basi la Tashrif na kuchukuliwa na watu ambao hawakuweza kutambuliwa na kwamba uchunguzi ulianza baada ya kupokelewa taarifa hiyo.

Baada ya kutolewa taarifa za kuonekana mwili wa mtu mwanaume ambaye hakuweza kutambuliwa kwa wakati huo ni mwili wa nani huko Ununio Jijini Dar es Salaam, utambulisho umefanyika kwa mujibu wa taratibu na kubainika ni mwili wa Ally Mohamed Kibao.

Soma Pia:
Aidha, uchunguzi wa mwili wa marehemu (postmortem) umefanywa leo tarehe 08/09/2024 na Madaktari bingwa kwa kushirikisha familia.

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hili la kusikitisha na timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu kwenye timu ya awali ili kuhakikisha waliofanya mauaji haya wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
 
Kuna taarifa kwamba Kibao alipotekwa, kulikuana Askari mwenye uniform za polisi usalama barabarani.
Waanza na huyo trafik. Je alipoona raia anatekwa na watu ambao hawana uniform lkn walikua na silaha, aliichukua jukumu gani? Aliripoti mahali popote ?
Kwanini hakuzuia utekaji Kama kweli hakuwajua watekaji kwamba Ni wenzake?
WAANZE NA HUYO TRAFIK.
 
Back
Top Bottom