Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

Kuna mchezaji wa Tanzania anayejua kucheza amewahi Achwa kucheza Yanga sababu ni mzawa?

Wewe kwa kichwa bumunda chako hicho ukipewa mzize na musonda utampanga nani
 
Tatizo la wabongo hakuna vipaji. Hata hiyo robo fainali mngeisikia kwenye bomba
 
TFf ilichuku.ie hili

Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa.

Tunastahili kichezeshwa wengi

Kwa lile wenge alilonalo Mzize, wazawa watasugua sana benchi. Hapa labda Tff waanzishe timu za taifa kama 10 waanzishe ligi yao huenda wakapata wachezaji wanaowataka ila hii ya kutegemea vilabu vikubwa kuwatengenezea timu bora ya taifa kwingi imegonga mwamba. Kuna kipindi Arsene Wenger alikuwa ana field timu yake unakuta Mwingereza ni mmoja au wawili tu 1st eleven. Watu wanaangalia buzines
 
Kiukweli mtoa,mada ana hoja!! Huwezi kuijenga timu nzuri ya taifa ikiwa vilabu vikubwa vinavyoshirik mashindano makubwa vina foreigners!!! Ilipaswa kuwe na Sheria wagen wawe at least 40 au 50 percent!! Huo ndio ukweli !! Sasa Yanga utafikiri ni combination ya wachezaji wa afrika
Hii inchi yenyewe viongozi hawafuati sheria ndiyo itakuwa vilabu
 
TFf ilichuku.ie hili

Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa.

Tunastahili kichezeshwa wengi

Nafikiri tatizo linaanzia kwenye sheria ya usajili wa wachezaji wa kigeni!
 
TFf ilichuku.ie hili

Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa.

Tunastahili kichezeshwa wengi

Wakijituma watacheza tu
 
TFf ilichuku.ie hili

Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa.

Tunastahili kichezeshwa wengi

Usianzishe uxinksns uneamka na hangover. Timu inasajili moskacwachezaji 30. Wageni si zaidi ya 12 waliobaki wote ni wazawa that's 18. Halafu tuna timu 16 kwenye ligi yetu. Timu tatu tu nfiyo zina uwezo wa kusajli angalau hao wageni 12. Iba masna jatika wachezaji 480 wa ligi kuu wachezaji wasiozidi 50 ni wageni esliobaki wote eote ni wazawa thats 430. Sijui unataka nini hapo. Kama katika hao wachezaji 430 huwezi ukapata wachezaji 23 wa timunta taifa vadu hii ni shida ya wachezaji wetu siyo suala la wageni. Kuna mdimu Arsenal ya England ilkuwa na first eleven ya wageni tu. Hata usajili wao waingereza hawakufika hata watano lskini hakuna aliyelalama. Kumbuka Arsenal ni timu ya malkia.
Sisi ni wavivu wa kufikiri na tunapopata matatizo tunadingizia uchawi na wageni. Niambie kuna vilabubbibgaoibvya ligi juu xina timu za vijana,? Je kina kanuni za TFF zinazolazimisha hivyo vilabu kuwa na timu hizo? Kuna vilabu vingapi vina academies zao kuzalisha wachezaji? No gain without pain. Tusioende njia za mkato kupata mafanikio.
TFf ilichuku.ie hili

Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa.

Tunastahili kichezeshwa wengi

Unacheza namba ngapi?.

Ayubu
Henock
Malon
Kanoute
Chama
Saido
Barbacar
Ngoma
Total 8.

Yanga
Diara
Lomalisa
Key
Guede
Msonda
Max.
Vikosi vya Jana.... Afu timu ipi imechezesha wageni wengi? Au unataka tukukojoze mbwa ww.
 
mtu atabebwa na kiwango chake na sio uzawa acha ufala
 
Football is business.

You need to work hard to show your quality.
Do you think bacca na dickson job wamefika pale kimamelodi.

Wamepambana.

Kila mtu ni shahidi wa utofauti wa kikosi cha yanga first 11 na kile kinachojaaga wabongo.

Kikosi chenye wabongo wengi amini kwamba siku hiyo lazima tuvurunde.

Football is business.

Watu wanaweka pesa mingi halafu waje waone ujinga ujinga.

WACHEZAJI WA KIBONGO PAMBANENI SANA.

AT LEAST MKIWEZA KUISOGEZA TAIFA STARS MAHALA MNAWEZA AMINIWA.
Sasa kama kikosi kina wabongo wachache na wageni wengi kutoka nchi nyingine za nje kwa nini tunaaminishwa ni uzalendo kuisapoti??
 
Kiukweli mtoa,mada ana hoja!! Huwezi kuijenga timu nzuri ya taifa ikiwa vilabu vikubwa vinavyoshirik mashindano makubwa vina foreigners!!! Ilipaswa kuwe na Sheria wagen wawe at least 40 au 50 percent!! Huo ndio ukweli !! Sasa Yanga utafikiri ni combination ya wachezaji wa afrika
Ni bado watu wanaaminishwa ni uzalendo kwa taifa kuisapoti!
 
Mbona raia wanaaminishwa ni uzalendo kuisapoti?
Kwa nini serikali inasafirisha hadi mashabiki kwa kodi za raia kwenda kuishangilia?
Hao wanasiasa jau, waanze kuonyesha uzalendo kufanyia kazi repoti ya CAG ndio nitawaona wanamaanisha
 
Sasa kama kikosi kina wabongo wachache na wageni wengi kutoka nchi nyingine za nje kwa nini tunaaminishwa ni uzalendo kuisapoti??
Kwani Mfungaji bora wa Man City ni kutoka England? Mbona akifunga mwisho wa siku inayoonekana kufanya vema ni timu ya England. Hivo hivo Yanga ni timu ya Tanzania haijalishi wachezaji wake wanatoka nchi gani mwisho wa siku ikifanya vizuri kwenye rekodi za CAF na FIFA ni Tanzania ndiyo itapata sifa. So serikali kuhamasisha uzalendo ilikuwa na nia kuhamasisha ushindi ili sifa zirudi Tanzania.
 
Back
Top Bottom