Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

Usianzishe uxinksns uneamka na hangover. Timu inasajili moskacwachezaji 30. Wageni si zaidi ya 12 waliobaki wote ni wazawa that's 18. Halafu tuna timu 16 kwenye ligi yetu. Timu tatu tu nfiyo zina uwezo wa kusajli angalau hao wageni 12. Iba masna jatika wachezaji 480 wa ligi kuu wachezaji wasiozidi 50 ni wageni esliobaki wote eote ni wazawa thats 430. Sijui unataka nini hapo. Kama katika hao wachezaji 430 huwezi ukapata wachezaji 23 wa timunta taifa vadu hii ni shida ya wachezaji wetu siyo suala la wageni. Kuna mdimu Arsenal ya England ilkuwa na first eleven ya wageni tu. Hata usajili wao waingereza hawakufika hata watano lskini hakuna aliyelalama. Kumbuka Arsenal ni timu ya malkia.
Sisi ni wavivu wa kufikiri na tunapopata matatizo tunadingizia uchawi na wageni. Niambie kuna vilabubbibgaoibvya ligi juu xina timu za vijana,? Je kina kanuni za TFF zinazolazimisha hivyo vilabu kuwa na timu hizo? Kuna vilabu vingapi vina academies zao kuzalisha wachezaji? No gain without pain. Tusioende njia za mkato kupata mafanikio.
Unatokea nchi gani mkuu, punguza kimuhemuhe kidogo tu utakua sawa
 
Back
Top Bottom