Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

Kuna mchezaji wa Tanzania anayejua kucheza amewahi Achwa kucheza Yanga sababu ni mzawa?

Wewe kwa kichwa bumunda chako hicho ukipewa mzize na musonda utampanga nani
 
Tatizo la wabongo hakuna vipaji. Hata hiyo robo fainali mngeisikia kwenye bomba
 
Kwa lile wenge alilonalo Mzize, wazawa watasugua sana benchi. Hapa labda Tff waanzishe timu za taifa kama 10 waanzishe ligi yao huenda wakapata wachezaji wanaowataka ila hii ya kutegemea vilabu vikubwa kuwatengenezea timu bora ya taifa kwingi imegonga mwamba. Kuna kipindi Arsene Wenger alikuwa ana field timu yake unakuta Mwingereza ni mmoja au wawili tu 1st eleven. Watu wanaangalia buzines
 
Hii inchi yenyewe viongozi hawafuati sheria ndiyo itakuwa vilabu
 
Nafikiri tatizo linaanzia kwenye sheria ya usajili wa wachezaji wa kigeni!
 
Wakijituma watacheza tu
 
Usianzishe uxinksns uneamka na hangover. Timu inasajili moskacwachezaji 30. Wageni si zaidi ya 12 waliobaki wote ni wazawa that's 18. Halafu tuna timu 16 kwenye ligi yetu. Timu tatu tu nfiyo zina uwezo wa kusajli angalau hao wageni 12. Iba masna jatika wachezaji 480 wa ligi kuu wachezaji wasiozidi 50 ni wageni esliobaki wote eote ni wazawa thats 430. Sijui unataka nini hapo. Kama katika hao wachezaji 430 huwezi ukapata wachezaji 23 wa timunta taifa vadu hii ni shida ya wachezaji wetu siyo suala la wageni. Kuna mdimu Arsenal ya England ilkuwa na first eleven ya wageni tu. Hata usajili wao waingereza hawakufika hata watano lskini hakuna aliyelalama. Kumbuka Arsenal ni timu ya malkia.
Sisi ni wavivu wa kufikiri na tunapopata matatizo tunadingizia uchawi na wageni. Niambie kuna vilabubbibgaoibvya ligi juu xina timu za vijana,? Je kina kanuni za TFF zinazolazimisha hivyo vilabu kuwa na timu hizo? Kuna vilabu vingapi vina academies zao kuzalisha wachezaji? No gain without pain. Tusioende njia za mkato kupata mafanikio.
 
Unacheza namba ngapi?.

Ayubu
Henock
Malon
Kanoute
Chama
Saido
Barbacar
Ngoma
Total 8.

Yanga
Diara
Lomalisa
Key
Guede
Msonda
Max.
Vikosi vya Jana.... Afu timu ipi imechezesha wageni wengi? Au unataka tukukojoze mbwa ww.
 
mtu atabebwa na kiwango chake na sio uzawa acha ufala
 
Sasa kama kikosi kina wabongo wachache na wageni wengi kutoka nchi nyingine za nje kwa nini tunaaminishwa ni uzalendo kuisapoti??
 
Ni bado watu wanaaminishwa ni uzalendo kwa taifa kuisapoti!
 
Hiyo sio timu ya taifa
Mbona raia wanaaminishwa ni uzalendo kuisapoti?
Kwa nini serikali inasafirisha hadi mashabiki kwa kodi za raia kwenda kuishangilia?
 
Mbona raia wanaaminishwa ni uzalendo kuisapoti?
Kwa nini serikali inasafirisha hadi mashabiki kwa kodi za raia kwenda kuishangilia?
Hao wanasiasa jau, waanze kuonyesha uzalendo kufanyia kazi repoti ya CAG ndio nitawaona wanamaanisha
 
Sasa kama kikosi kina wabongo wachache na wageni wengi kutoka nchi nyingine za nje kwa nini tunaaminishwa ni uzalendo kuisapoti??
Kwani Mfungaji bora wa Man City ni kutoka England? Mbona akifunga mwisho wa siku inayoonekana kufanya vema ni timu ya England. Hivo hivo Yanga ni timu ya Tanzania haijalishi wachezaji wake wanatoka nchi gani mwisho wa siku ikifanya vizuri kwenye rekodi za CAF na FIFA ni Tanzania ndiyo itapata sifa. So serikali kuhamasisha uzalendo ilikuwa na nia kuhamasisha ushindi ili sifa zirudi Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…