Timu zinazoshiriki michuano ya CAF ina mabeki kama kina Inonga kuanzia wawili, hili yanga lazima tulitambue

Timu zinazoshiriki michuano ya CAF ina mabeki kama kina Inonga kuanzia wawili, hili yanga lazima tulitambue

Utopolo Mueleweni Mwenzenu Hana Ubaya anachosema.... Michuano ya CAF , Timu inaweza ikawa na Wachezaji Wa Calibre Ya Inonga Wawili au Watatu..!

Sasa itakuwaje Kwa Wale Wazee Waliojazana Pale Yanga Ambao Wamekuja Kufuata Pensheni tu..! Kina Aucho, Antibiotic , Bangala Na wengine..!

Hivyo Yanga Ijiandae Usajili Wa Nguvu sio Kuwategemea Wazee Wale....Mumuelewe Mwenzenu!!

Ama Sivyo Kipigo Cha Ndani nje Kitawahusu tena Kwenye Preliminaries..! Mwenzenu anatoa Angalizo tu..!
 
Back
Top Bottom