Utopolo Mueleweni Mwenzenu Hana Ubaya anachosema.... Michuano ya CAF , Timu inaweza ikawa na Wachezaji Wa Calibre Ya Inonga Wawili au Watatu..!
Sasa itakuwaje Kwa Wale Wazee Waliojazana Pale Yanga Ambao Wamekuja Kufuata Pensheni tu..! Kina Aucho, Antibiotic , Bangala Na wengine..!
Hivyo Yanga Ijiandae Usajili Wa Nguvu sio Kuwategemea Wazee Wale....Mumuelewe Mwenzenu!!
Ama Sivyo Kipigo Cha Ndani nje Kitawahusu tena Kwenye Preliminaries..! Mwenzenu anatoa Angalizo tu..!