TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Ah ah kwa hyo jamaa ni bastard??[emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
hv anaesema tiss hawahusiki anaushahd amechunguza!! au anaongea kwa kuhisi tu kwamba tiss hawawezi! kila kitu kam huna data research kimyaaa! unamteteaje mtu wakt hujachunguza?? kwani tiss wote ni waadilifu! huwenda wapo wnaotumiwa na vigogo kwa maslahi furani
 
Kwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
Wewe mama kwa mapenzi yako ya CCM na ukada uliotukuka unatetea uozo Mara nyingi sana.Hebu shirikisha ubongo basi hata kidogo.Au jambo km hujui ni busara kukaa kimya,sio lazima kujibu kila kitu!
 
Pascal pole sana,najua JKN alikuwa anashida lakini hili la kuua na kutesa kwa sababu ya kutukana,kuhojiwa sidhani kama lingekuwepo kwa JKN.

Kiongozi yeyote akishashindwa kuongoza basi matokeo yake ni kutumia idara hii kunyamazisha watu.
Nyerere nae anamadudu mengi tu
 
Kwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?

Sijui kama umemsoma na kumuelewa jamaa..
Inahusishwa na matukio yanayoendelea na kipindi hiki yamezidi kiwango na ni ya hovyo hovyo tu, au kkwako ni sawa RC kuwatumia makhirikhiri kuvamia kituo cha radio na tv..
 
ungetuambia kwanza kama torture ni kinyume cha sharia ipi maana utesaji ni moja ya mbinu za kipelelezi

Yap ni kweli ni mbinu ya kipelelezi lakini Inategemea unamtesa nani na kwa sababu gani.
Kule Guantanamo wanateswa alqeda na wataliban lengo ni kutoa siri za makundi yao... Utaona hapo anayeteswa ni alqeda au Taliban sababu ni kujua siri zao..

Huku hata wewe mpita njia utateswa eti unaulizwa unamjua fulani au wamehisi tu unainform fulani mwishowe ni wewe kukubali halafu ukifika court unakataa kwa sababu uliteswa. Kumtesa mtu lazima ujilidhishe na identity yake kwanza ndio umtese kwa sababu ni 100% umejiridhisha ni mhalifu sio kutesa mtu usiyemjua ni mhalifu ama sio mhalifu..
 
Naona hili la Kamati Ya Bunge kuchunguza ni la muhimu sana. Yote katika yote, sote kama Watanzania, tupiganie utulivu wa nchi yetu maana tumeona katika nchi zenye machafuko jinsi hali inavyokuwa. Mwenyezi Mungu atuepushe na balaa la machafuko, NASI BINADAMU, WATANZANIA, TUKISHIRIKIANA NAYE KWA DHATI YA MOYO.
 
Hizi ndo zama mpya walizotaka.juzi kati hapa mello alivyotiwa nguvuni mzee wa zama mpya alicharuka kama mbogo.

Uzuri wa haya mambo yanapo kukuta ndo akili zinarudi
Yaaaani mpaka akaanzisha ka 'blog' kake kakiwa kana reflect jina la Magu eti 'zama mpya'

Bahati mbaya yake kamekosa followers [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pascal pole sana,najua JKN alikuwa anashida lakini hili la kuua na kutesa kwa sababu ya kutukana,kuhojiwa sidhani kama lingekuwepo kwa JKN.

Kiongozi yeyote akishashindwa kuongoza basi matokeo yake ni kutumia idara hii kunyamazisha watu.
Uko sahihi sana Mkuu

Uwezo Wa kiuongozi uko chini na mbaya zaidi kuna ukimbukeni Wa MTU kuwa Amiri Jeshi Mkuu kiasikujiona yeye yuko juu ya kila MTU na kila kitu

Kuongoza pasipo rejea ya mipaka yake kisheria ndiko kunaleta yote haya
Polisi kufanya kazi pasipo kujitambua wajibu wao kadri ya sheria iliyofanya wawepo huku wakiishi na kusubiri amri za wenyeviti Wa kamati za ulinzi na usalama ndipo watende kumewapanya wawe wanawayawaya na kutenda mambo ya ajabu ambayo yanawafanya waonekane kero mbele ya jamii inayowazunguka
Polisi wamegeuka miungu watu kwenye vituo vyao vya kazi

Wamepewa ruhusa ya kutenda yhalifu dhidi ya RAIA na kufanyika kuwa moja ya sehemu hatari kwa uchumi na ustawi Wa RAIA

Polisi wanajituma sana kufanya kazi zile ambaxo zinawafanya waweze kuteka fedha ya wananchi
Mimi niliibiwa simu yangu janja nikaenda kuripoti

Kuna jamaa muungwana aliniambia bro. Simu yako inaweza kupatikana tena kwa muda mfupi, lakini hao Wa kitengo hawawezi kuitafuta kwa ajili ya wewe kuipata Bali wataitafuta na kumkamata aliyeinunua na kumbandikia mashtaka maxito labda kuwa simu hiyo iliibwa kwenye tukio LA ujambazi na kuna mauwaji yalifanyika ili kuongoze dau kwa jamaa kuweza kuachiwa

Hivyo dau huwa ni kati ya Tsh 1m hadi 3m kutegemea nafasi au tathmini ya aliyekamatwa na simu kiuchumi.
Hivyo kupata simu yako labda uwape fedha kubwa kuliko watakayodai kwa watae mkuta nayo

Huo ndio mchezo

Sasa ni kwa jinsi gani polisi ambayo wamegeuka Mali binafsi Wa mkulu kwa kuwa anawatumia apendavyo ili kumsaidia kutimiza makengo yake kisiasa wawezaje kurudishwa kwenye mstari wakawatumikia watz ?

Hizi special tasks zinatumika vibaya sana hasa kwa kuwa chini ya komandi za non combatants
 
Kwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
Umesoma vizuri?au wewe ni mtoto kujua habari za kujiuzulu mwinyi uwaziri kwa tatizo hilo?
Hiyo ni wazi malalamiko hayakuanza leo.
 
Nyani Ngabu,
Kama Jack Zoka wa sasa hajitokezi,waziri hasemi,na makirikiri wameonekana kwenye TV na hakuna maelezo,basi ukimya unaweza kumaanisha ni kweli
 
Ditopile...! una mkumbuka unafahamu alikuwa na kazi gani na serikali iliwekeza nini kwake ali...
Kama TISS kisheria hairuhusiwa kukamata.kutesa na kuua,je ni nani huyo aliye juu ya sheria ama ananyamazia au anawapa jeuri kuvunja sheria with impunity?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…