TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Wakwambie wakati huo ulikuwapo duniani? Cocochanel haya mambo ni makubwa kwako huyawezi kabisa. Usijitie kimbele mbele

Ha ha haaaaa eti makubwa ha ha haaaa

Umeshindwa kujibu niliyoandika..mimi na wewe nani mzima.

Mjisikitikie, kwa sababu unamchukia Cocochanel kwa kuwa imara katika kumsifia RC Makonda na Raisi wetu basi lolote mkinisoma hamtumiii yanayotakiwa, mnadonoa tu kujiona mmeniweza na kumbe wote mmechemka.

Ndio hapo muone nguvu ya chuki inavyoweza mmaliza mtu na kumshishia hadhi kabisa. Kama mlivyojifanyia wote na mnavyofanya kudakia kila ninaloandika.

Mtaelewa tu na kuibusu awamu ya TANO.

Sasa na udogo wangu uliambiwa makubwa ni ya wakubwa...wanaovutwaga wote wanakuwa watu wazima sanaaaaaa!? Si unajua wengine wanaajiliwa kivipi na kivipi au!? Eeeehhhh
 
Toka mafuta ya kidebeee
1814565009ea9f995453235b9e72b502.jpg
 
Kwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?

Utekaji, mauaji yote ni amri ya mkuu. TUSITEGEMEE KUMSIKIA AKIKEMEA AU KULAANI vitendo hivi kwa sababu vinamfurahisha mkuu.
 
Kuleta uzi mrefu kama huu uliojaa historia na kuwatuhumu hao TISS, bila ya kuonyesha ushahidi na uthibitisho wa kuhusika kwao ni kujenga fitna na majungu tu. Unapotuhumu unapaswa kuthibitisha tuhuma zako. Thibitisha ndio watu wajadili. Vinginevyo huu ni upuuzi tu kama ulivyo upuuzi mwingine.
 
Peleka hizo fikra zakona maneno machafu kwa wenzako, mnaomdharau na kumuongelea vibaya Raisi wetu mpendwa.

Mtaendelea kusaga meno hadi mkome.

Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeeee

Makonda oyeeeeeee
 
Kuleta uzi mrefu kama huu uliojaa historia na kuwatuhumu hao TISS, bila ya kuonyesha ushahidi na uthibitisho wa kuhusika kwao ni kujenga fitna na majungu tu. Unapotuhumu unapaswa kuthibitisha tuhuma zako. Thibitisha ndio watu wajadili. Vinginevyo huu ni upuuzi tu kama ulivyo upuuzi mwingine.
Mkuu Grand Puba, nilichosema ni
1. TISS sio malaika, huko nyuma waliwahi kuteka, kutesa na kuua, Nyerere alikasirika hivyo wahusika walitumuliwa kazi, walishitakiwa na walifungwa.

2. Imeelezwa wale makirikiri wa Bashite ni Tiss, hakuna aliyekanusha!.

3. Imeelezwa yule mpuuzi aliyemtolea Nape Bastola ni TISS, hakuna aliyekanusha!.

4. Hivyo kwa kutumia precedence ya TISS huko nyuma kuna justify kuwa kuna uwezekano ikawa ni kweli TISS is behind huu uovu na uchafu unaozungumziwa Bungeni.

5. Pia inawezekana sio TISS as TISS bali ni acts za individual members wa TISS wakifanya a "stand alone operations" bila kupokea command yoyote kutoka juu.

6. Inawezekana kabisa vitendo hivi vinafanywa na wahuni fulani, ambao wana pose as TISS just to make believe kumbe ni just impostors kuchafua TISS wetu waadilifu, whichever the case, TISS ijitokeze iwakane na kurudisha imani na TISS wetu.

Kama haya yanazumzwa Bungeni then TISS ama ijitokeze kukanusha au ijisafishe kwa safisha safisha.
Paskali
 
Pascal Mayalla,

Mayalla,

You are avoiding details (seems like purposely) on how the organization became the fist of the ruling party (CCM), thus put
under direct party control. No other oversight existed over it. What existed at the centre "structurally" was the *political police*. Main Tasks included:

1. Suppression and oppression of all kinds of political opposition in the country. A young state had to focus on "Unity and order"...

2. Total control over the society.

No Parliament sitting adopted law/s to determine the activities of the security services, or at least the laws were vague. Basically, the activities of the organization were activities defined and guarded by Revolutionary Party (CCM).

I am in contrary to Zitto et al thinking on dissolving TISS. Dissolving the organization would be disastrous to the Nation because doing so would fulfil the objectives of organized criminals. Many of the would be former intelligence agents would be recruited by numerous mafia groups. They would extend an informal network, support each other, support their ex- bosses, and worse - if united they would be able to easily form even a private army. Let's not forget that we live in a society where informal institutions are stronger than formal ones. Its why we are categorised as a "problematic state", only one level up from being a "failed state". A problematic state is the one that lacks rule of law (instead under a big man rule), and dominated by informal institutions (absence of strong formal institutions).

What needs to be done instead?

-The parliament should adopt relevant laws to guide its activities.

-A parliamentary oversight should be established and it should involve experienced parliamentaries in security matters.

- TISS needs to be depolitized. There should be a ban on party associations for the staff; there should also be prohibition of any political related activity within the working
places of TISS).

- Centralized oversized security apparatus needs to be dismantled.

- There should be a reduction of the number of the staff down to the real needs of the national
security.

- TISS should be put under a more sophisticated controlling system i.e
Parliamentary, administrative and, judicial.

- There's a need of establishing"judicial control" over the use of secret means and methods which can penetrate or infringe the rights and privacy of the citizens.

- Goals and purposes of TISS need to be redirected and restructured
along new directions;

- Recruitment of new intelligence officers should only base onprofessional merits.

- There has to be transparency on its budget sources and also an independent control above them.

- TISS needs to join the intelligence-security community of the "democratic world".

- TISS needs to intensively participation in combating the global security challenges, especially international terrorism.

In the final analysis, CCM and the State should no longer be held in " synonymous ".
 
Pascal Mayalla,

Mayalla,

You are avoiding details (seems like purposely) on how the organization became the fist of the ruling party (CCM), thus put
under direct party control. No other oversight existed over it. What existed at the centre "structurally" was the political police. Main Tasks included:

1. Suppression and oppression of all kinds of political opposition in the country. A young state had to focus on "Unity and order"...

2. Total control over the society.

No Parliament sitting adopted law/s to determine the activities of the security services, or at least the laws were vague. Basically, the activities of the organization were activities defined and guarded by Revolutionary Party (CCM).

I am in contrary to Zitto et al thinking on dissolving TISS. Dissolving the organization would be disastrous to the Nation because doing so would fulfil the objectives of organized criminals. Many of the would be former intelligence agents would be recruited by numerous mafia groups. They would extend an informal network, support each other, support their ex- bosses, and worse - if united they would be able to easily form even a private army. Let's not forget that we live in a society where informal institutions are stronger than formal ones. Its why we are categorised as a "problematic state", only one level up from being a "failed state". A problematic state is the one that lacks rule of law (instead under a big man rule), and dominated by informal institutions (absence of strong formal institutions).

What needs to be done instead?

-The parliament should adopt relevant laws to guide its activities.

-A parliamentary oversight should be established and it should involve experienced parliamentaries in security matters.

- TISS needs to be depolitized. There should be a ban on party associations for the staff; there should also be prohibition of any political related activity within the working
places of TISS).

- Centralized oversized security apparatus needs to be dismantled.

- There should be a reduction of the number of the staff down to the real needs of the national
security.

- TISS should be put under a more sophisticated controlling system i.e
Parliamentary, administrative and, judicial.

- There's a need of establishing"judicial control" over the use of secret means and methods which can penetrate or infringe the rights and privacy of the citizens.

- Goals and purposes of TISS need to be redirected and restructured
along new directions;

- Recruitment of new intelligence officers should only base onprofessional merits.

- There has to be transparency on its budget sources and also an independent control above them.

- TISS needs to join the intelligence-security community of the "democratic world".

- TISS needs to intensively participation in combating the global security challenges, especially international terrorism.

In the final analysis, CCM and the State should no longer be held in " synonymous ".
Mchambuzi, Mkuu Mchambuzi
thanks very much for this, its very objective naona kama umemaliza kila kitu!.

It's true kuna lots of details nime avoid kutokana na uzalendo, pia nimemtaja Mzee wangu tuu kwa sababu alihusika direct, lakini sikumtaja mama yangu ambaye she is still alive and retired (hawaritayi kabisa) wala sikusema kuwa hata mimi almanusura!. Anyway haya tuyaache.

Although mhusika mkuu hataisoma kutokana na lingua uliyotumia, wahusika wenyewe wamesoma, na wamesikia labda waendelee tuu kutia pamba masikioni kwa sababu kujadili jambo lolote kuhusu TISS was considered a taboo hivyo bandiko hili kwa TISS ni kama abomination!.
Thanks again.
Paskali
 
Back
Top Bottom