Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe na yeye alikwendaga Semunge kwa Babu kupata kikombe ... Ha ha ha ha haaaaaa .... maisha ya dunia bwana yatatupeleka mitoni aisee .... da!!!
Umeongea fact sana mkuu! Kumbe unafahamu, ubarikiwe sanaNani wa kuifumua, kama bashite ndiye think tank wao na babake ambaye ndiye mlezi wao kampa awatumie awatakavyo!
Yaani kesi ya nyani aamue ngedere?
Kipindi ambacho watu wengi walikufa na kupotea ni kipindi cha Nyerere,na Tiss walitesa sana watu,ukikosoa tu,unakwenda na maji,matokeo yake hata wagonjwa wa akili majalalani tulikuwa tunawaogopa,tunadhani ni watu wa Tiss,kuwekwa watu kuzuizini ilikuwa ni kawaida,mahasimu wake kisiasa Crisstopher kasanga Tumbo,Lifa Chipaka,na wengineo waliwekwa kizuini kisa tu kuwa mitazamo yao haikubali....Pascal pole sana,najua JKN alikuwa anashida lakini hili la kuua na kutesa kwa sababu ya kutukana,kuhojiwa sidhani kama lingekuwepo kwa JKN.
Kiongozi yeyote akishashindwa kuongoza basi matokeo yake ni kutumia idara hii kunyamazisha watu.
Serious?Kumbe lissu unayajua hayo mbona mabunge mengi yame pita uja yasema leo hii ndio unaropokwa acheni majungu nyinyi mnataka kupotosha umma waichukie serekali yao
Unajua tunajadiliana nini?Mkuu hata ya bashite na clauds bado nayo sio fact?
Hahahaa duh we kiboko. Ujuaji mwingiii huna unalojua....yani unaleta hapa zile story zako za vijiweni....TISS isifumuliwe bali iondolewe wajenge walinzi wengina wa taifa, kwa mbinu za kisasa, waliopo wengi wemeingizwa kindugu na utawala, wengi wao hawana weledi wa kungamua wabaya wa taifa. Mafunzo wanaweza kuyatumia ya nchi zilizoendelea kama vile Urusi na china au waombe kusaidiwa na Mfumo wa ulinzi wa Knisa katoriki, hawa ni balaa, angalia anavyolindwa Papa.
Wewe mama kwa mapenzi yako ya CCM na ukada uliotukuka unatetea uozo Mara nyingi sana.Hebu shirikisha ubongo basi hata kidogo.Au jambo km hujui ni busara kukaa kimya,sio lazima kujibu kila kitu!
hv anaesema tiss hawahusiki anaushahd amechunguza!! au anaongea kwa kuhisi tu kwamba tiss hawawezi! kila kitu kam huna data research kimyaaa! unamteteaje mtu wakt hujachunguza?? kwani tiss wote ni waadilifu! huwenda wapo wnaotumiwa na vigogo kwa maslahi furani