TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Mh!
Nyerere unanafasi bado ya kimfananisha huyu na Mwalimu!
Wana tofauti kubwa kabisa!
Labda kama ilikuuma sana kuona Mzee wako alivyoteseka kwa kuwekwa Ndani!!
Kama ungeifungua link ukaona wanafananaje ndipo ungenielewa.
Paskali
 
Maboso,
[emoji115]
( Hivi nchi kuwa salama maana yake ni wana usalama kutenda kinyume cha sheria na haki za binadamu . . ? Kama Serikali ina mhitaji mhalifu yeyote, basi itende kwa mujibu wa sheria, mahakama zipo, sio TISS kutumika kukamata, kuteka, kuumiza au kuua . . HII SI SAWA HATA KIDOGO . . ! )
 
Unaakili kubwa sana,japo aina hii ya akili ndo zinazopigwa vita tz
 
Mbona hujatekwa upo salama
 
Hii kikombe ya babu wa Loliondo, nilidharau wote walioenda kuinywa.

Tena wengine wakijiita wasomi na ma phd lakini wapi! Hiki kikombe cha babu ilikuwa ni dalili mojawapo nzuri tu ya kutujulisha kuwa huyu hamnazo.

Nawachukulia hawa sawa tu na viongozi wengine ambao wanaenda kwa waganga na wanaambiwa viungo vya albino ndo dawa.

Hao wasomi wa ccm...
 
Mkuu Pascal Mayalla naona umejitoa muhanga safi sana huu ndo Uhuru wa habari na kutoa maoni..
My in take ukiona Nissan nyeupe tujulishe
 
Mkuu Pascal unayo hoja nzito. Kipo kingine kinachojitokeza ambacho ni muhimu kukiangalia kwa umakini mkubwa.

Hii inayoitwa vita ya kiuchumi, ni mpambano mkubwa wa kimaslahi, kushughulika na watu ambao wanauza almasi huko Ulaya na kupata mabilioni ya shilingi halafu leo hii biashara inaingia mchana, kwa kweli hao wafanya biashara wanao uwezo wa kuiharibia nchi heshima yake.

Miaka yote watu wanafaidika na madini yetu halafu leo hii ghafla bin vuup wanakuta mambo yamebadilika, ni lazima wafanye umafia kwa nguvu zote wakiwa na matarajio ya kuibuka washindi.

Nadhani ndio maana hata hao jamaa wa usalama wapo kimya, hawaongei mara kwa mara. Zipo taarifa kwamba kwenye masuala ya ukachero Tanzania inashika nafasi ya saba duniani. Hivyo pamoja na makosa mengi wanayofanya hao jamaa, bado wanao uhalali wa kuaminiwa kwenye maamuzi na nyendo zao.
 
Bhana ujue vitu vingine vinaletwa na lumumba leo mbunge anasimama nakusema tuwaige Rwanda ka kipi kumteka mpizan au kimbali total shame
 
Imani haina usomi wala PHD
 
Tiss ndio baba na mama wa tanzania. Kazi iendelee sanaaaa
Twaweza walitoa matokeo wakasema Wenye elimu ndogo,upeo Mdogo masikini wa kutupwa kama wewe ndiyo wanaipenda ccm.Kwa sasa ccm inatawala Kwa kupitia nguvu za TIss,bila TIss ccm haipo,kuanzia katika uchaguzi mpaka kutawala.
TISS isijihushe na siasa kabisa,Bali iangalie usalama wa nchi na rasilimali zake

Pascal Mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…