Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemeji.......ni shida.ShilawaDU AKA Baba Jesca AKA Dikteta uchwara
Shemeji.......ni shida.
umeona eh........ kama kisheria (yao ya kazi) wanaruhusiwa hata kumbana mtu korodani kwa praizi.... ili mradi wapate wanachokitaka..............how comes tunawahukumu??Kama TISS kisheria hairuhusiwa kukamata.kutesa na kuua,je ni nani huyo aliye juu ya sheria ama ananyamazia au anawapa jeuri kuvunja sheria with impunity?
ungetuambia kwanza kama torture ni kinyume cha sharia ipi maana utesaji ni moja ya mbinu za kipelelezi
Mke mwenzangu acha shobo utaolewa bila mahari
umeona eh........ kama kisheria (yao ya kazi) wanaruhusiwa hata kumbana mtu korodani kwa praizi.... ili mradi wapate wanachokitaka..............how comes tunawahukumu??
Mumeo atakuwa ni mmoja wa hao watesaji. Tetea tu mama. Siku mchuzi ukikumwagikia ndo utayakumbuka haya ya leo ya Paskali.Kwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
Kama TISS kisheria hairuhusiwa kukamata.kutesa na kuua,je ni nani huyo aliye juu ya sheria ama ananyamazia au anawapa jeuri kuvunja sheria with impunity?
....Mheshimiwa rais kazi kubwa ni kulinda amani na usalama wa raia na ukishindwa hiyo basi tunaelekea kubaya.....I trust you president watekaji wanakuchafua na naimani hukuwapa hiyo kazi.Huko CCM ndiyo mbinu ya kipepeezi.Kwa Tanzania inakiuka Katiba,Sheria na haki za binadamu.
Ule usiri wa ajira wanautumia kupandikiza ndugu zao kimya kimya,sijui kama wana mechanism ya kuondoa possibility ya kukuta taasisi yao ni mzunguko wa wanaukoo wa watumishi waliowahi kufanya kazi humoTISS ya leo imekaa kindugu ndugu, ukabila, yani inatia hata kichefuchefu kuzungumzia TISS ya leo...