Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma ukaelewa?Kwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
Mke mwenzangu acha shobo utaolewa bila mahari
Afadhali ingekuwa omo, huyu kabugia diesel... Mapovu meeengi utadhani umebugia omo.
Kwani huyu mayala babake ndo yule alikuwa RSO wa Kilimanjaro na mayala akawa anasoma Mawenzi Secondary au?RIP baba yake mayala Former RSO, ila hao watekaji sio toka idarani ni watu tu wasiokua wastaarabu
Licha ya mapungufu waliyonayo TISS wamefanya kazi yao vizuri tatizo kubwa ni sheria iliyopo haiwapi nguvu ya kufanya chochote,kitu cha msingi ni kubadilisha sheria kuwapa nguvu kutoa maamuzi na itakayowabana wanasiasa ambao kwa sasa wao ndio wanapewa ushauri na TISS lakini wanafanya decision kwa interest zao.Kisheria TISS wanakusanya taarifa na kuwapelekea decision makers(wanasiasa) hata haya yanayotokea sasa yana interest za wanasiasaKiufupi TISS wameshindwa kutimiza wajibu wao kwa miaka 20 iliyopita. Ufisadi na wizi wa nyara za serikali ni uthibitisho tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao.
Nenda pale Mabatini Kijitonyama kwenye groccery zilizoko mkono wa kushoto kama unaelekea Mwenge utaona ujinga wao wanavyojitapa iq zao ni ndogo sana WANATUMIA misuli zaidi ya akiliKwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
Hata aliyekutuma atakuwa anaona aibu na kujidharau ilikuwaje akutume kazi hii!Kwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
Hizo facts ulizotumia ni za kujifikirika! Na ni dhihirisho kuwa wengi tunaishi kwa hofu isiyokuwepo!Mkuu ulichowaza na kukisema mkuu na mimi nimewaza hivyo hivyo ila nimeshindwa kusema.
Naunga dots; mkuu pascal babake alikuwa RSO- (fact ya kwanza), Mkuu pascal ni mwandishi wa habari (wanaofanya kazi hii wengi ni watu wa huko)-(Fact ya pili)
Hata aliyekutuma atakuwa anaona aibu na kujidharau ilikuwaje akutume kazi hii!
Acha kuzunguka mbuyu, anayewatuma anafahamika , mnazunguka nini? TISS ni nini, wako chini ya nani? acha hizo wanatumwa na Ikuru, Ikuru ni nini?, Ikuru ni nani?
Umesoma ukaelewa?
Sio kila issue lazima uiparamie..
Ona sasa usivyo na haya...
Jaribu kujisitiri walau kidogo..
Upo mtupu kabisa.