Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paskali kwanza pole kwa masahibu yaliyompata A. Mayala (RIP).Wanabodi
TISS ni idara nyeti, uadilifu wake unapaswa kuwa ni wa kiwango cha mke wa Kaisari, ile kutuhumiwa tuu ni kosa tosha hata bila kuthibitishwa!.
Huu mjadala unaoendelea kuhusu utekaji, utesaji na mauaji ambavyo vinahusishwa na idara yetu nyeti ya Usalama wa Taifa, TISS ni uthibitisho tosha kuwa TISS imechafuka inahitaji kusafishwa!.
...Paskali
Wakwambie wakati huo ulikuwapo duniani? Cocochanel haya mambo ni makubwa kwako huyawezi kabisa. Usijitie kimbele mbeleKwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
Mungu anakazi kubwa sana
Wewe ni mchochozi tena ni mtu hatari sana kwa Taifa hili kama Mungu yupo basi ashughulike na wewe haraka.Yote yawe nahisi yanayotamkwa na viongozi wa kisiasa, kuhusu utawala wa sasa, kuifitinisha na Raia, ni mchezo mchafu, hasara ya demkrasia katika jamii maskini.
Viongozi wa upinzani, wanachama, washabiki, wafuasi na wapiga debe, hamtoki kwenye kibano cha Rais Magufuli. Mtaendelea kukoromea kwenye kibano hadi mlegee. Hamna ubavu wa kubadilisha lolote na hata 2020 mtaambulia patupu.
PASKALI WAFIKISHIE UJUMBE HUO WALIOKUTUMA
Mtashughulikiwa wote mnaotaka nchi isitawalike au mnaomba miujiza Rais Magufuli aondolewe madarakani.Wewe ni mchochozi tena ni mtu hatari sana kwa Taifa hili kama Mungu yupo basi ashughulike na wewe haraka.