Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Muangalie Biden akiwa Ikulu anavyomingo na raia bila wanajeshi au walinzi wa kumfuatafuta karibu. Hata anapokuwa nje ya Ikulu huwezi kuona mwanajeshi nyuma yake. Ni hivyo kwa viongozi wengi wa magharibi.
Tunaweza kuwaambia huko nje watufundishe na sisi Waafrika.
Tunaweza kuwaambia huko nje watufundishe na sisi Waafrika.
Kumbuka yule siyo Rais ni Makamo wa Rais.Halafu kila Jamii Ila Mfumo wake wa Ulinzi usilazimishe Rusia ifanane na USA. Hata aina ya Bunduki.
Kumbuka huyo hajaenda hutubia Wananchi kaenda hutubia Viongozi. Halafu kumbuka Ulinzi ni Elimu inafundishwa kulingana na Mazingira . Africa siyo America