Tanzania Internal Security Services (TISS) Hawa jamaa walikuwa makini wakati wa Nyerere hasa baada ya kuonekana wana umuhimu kwa usalama wa nchi na rais baada ya Nyerere kunusurika kung'atuliwa bila ridhaa yake
Ila sasa, kutokana hakuna mapinduzi ya kama kipindi kile, kutokana Jeshi haliwezi kuasi kwa kuwa 'wanalelewa' vyema, hawa jamaa ndio wanaoratibu utesaji wa wanasiasa na wanahabari, hawa jamaa ndio wanaangalia 'intelijensia' na kuzuia maandamano na mikutano ya chadema kwa visingizio vya ugaidi, alshabaab nk,
Hawa jamaa practise yao kubwa kwa sasa ni Chadema,.