Nasikitika kukutaarifu kuwa huna uelewa wa kutosha kujenga hoja fikirishi na au una shule kiduchu ya kujua kuchezea key board tu! Nakuweka kabatini iendelee kulumbana na wa aina yako. Kwaheri ya kutokukuona tena hapa!Hana sababu ya kuzurura huko nje, kumbuka keshaunda baraza la mawaziri ambalo lipo kazini.
Ndo ujue serikali haina muda wa kupoteza kuongea na hawa wavaa magauni wanuka mikojo wa hapa bongoTHE BIG SHOW tumetoka kubishana muda si mrefu, kumbe serikali yako imesafiri hadi Vatican leo kwenda kumuomba papa aiombee Tanzania
Nilikuambia kuwa hamna akili na maarifa
View attachment 3535666
Hizo habari feki zinasambazwa na Maria dada wa watu anayezeekea kwenye matukio ya kujenga taharuki.Hata Madura amenyakuliwa na Amerika lakini Serikali bado ipo, wewe hauna chochote ndani ya hiyo serikali unayosena ila wenyewe wanatambua kuwa maji yamewafikia shingoni.
Wewe jipo promo ila tambua kuwa wananchi wataendelea kuipinga serikali wakati wowote kama wanaleta tabia zinazotweza hutu wa binadamu.
Uelewa wako umekusaidia nini ikiwa unadanganywa na hawa kina Maria halafu unaingia mkenge mazima?.Nasikitika kukutaarifu kuwa huna uelewa wa kutosha kujenga hoja fikirishi na au una shule kiduchu ya kujua kuchezea key board tu! Nakuweka kabatini iendelee kulumbana na wa aina yako. Kwaheri ya kutokukuona tena hapa!
Haendi mtu ICC, leteni tena fyoko fyoko mnasubiriwa na mapolisi wa kikosi maalum.Jiandae tu kwenda kupeleka uji ICC.
Nakuambia tena, ninyi huko msikitini mnamiliki majambia tu na silaha za moto siyo simu jombaa useme utazurura nayo Kila mahali. Watu wanazo ila hawajaamua tu kuzitumia na usichukulie poa!Zikufikie silaha wewe kichaa unadhani serikali haina upeo??
Hizo akili za ki.fala huwa mnapewa pewa vipi huko makanisani??
Saivi umehamia kwenye taarifa za uzushi? Umeachana na ICC haiwezi kumkamata Rais?Habari feki za kugushi mnazitengeneza kuwajaza taharuki wabongo, tafuteni kazi ya maana nyinyi kina Maria Sarungi huu ujinga wenu unakwenda ukichokwa na watanzania.
Hao wote, waTanzania ambao uhai wao ulisitishwa na waovu hawa ni ndugu zako; kama walivyo ndugu zangu.Kwaresma nitafunga kwa ajili ya hili. Sijapoteza ndugu lakini inaniuma sana Mo29
Nikikumbuka tambo za wanasiasa na wafuasi wao kama akina Durtete, Bagbo, Maduro, Sadam Hussein, Magufuli, Al Bashir, Gadhafi, nabaki nacheka sana.Habari feki za kugushi mnazitengeneza kuwajaza taharuki wabongo, tafuteni kazi ya maana nyinyi kina Maria Sarungi huu ujinga wenu unakwenda ukichokwa na watanzania.
SSH huwezi kumuweka kwenye kundi hilo, alilazimika kuitetea dola kutetea kiapo chake.Nikikumbuka tambo za wanasiasa na wafuasi wao kama akina Durtete, Bagbo, Maduro, Sadam Hussein, Magufuli, Al Bashir, Gadhafi, nabaki nacheka sana.
Ukichezea maisha ya binadamu mwezio kwasababu ya madaraka...utalipia tu damu za watu regardless of time.
Muandiko wako unaonyesha wewe ni Maria, unapoteza muda kuamini kwenye huo uzushi kwamba ICC inamfahamisha Samia rasmi.Saivi umehamia kwenye taarifa za uzushi? Umeachana na ICC haiwezi kumkamata Rais?
Kweli mmechanganyikiwa. Na bado jiandaeni tu kwenda ICC kuwapelekea uji Samia, Abdul, Mafwele, Awadhi, Mombo, Mkunda na Wambura
Sikufahamu na mimi hunifahamu...wewe endelea kuamini kuwa ICC haitamfanya lolote Samia, mimi ninaamini kuwa ICC itamfanya lolote. Muda ni mwalimu mzuri sana.SSH huwezi kumuweka kwenye kundi hilo, alilazimika kuitetea dola kutetea kiapo chake.
Mbona tarehe 9 na 25 Desemba hakupigwa mtu hata mmoja risasi?. Mlipokelewa mlivyokuja hivyo msianze kujiliza kwa hao wazungu mnaishia kuonekana wajinga tu.
Wale MAHAYAWANI walistahili kuuliwa tu. Kwanini wachome miundombinu ya Serikali?Jeche aliwekw amahabusu kwa sheria na katiba gani?
Lissu yujo jela kwa sheria na katiba gani?
Mpina alikatwa kwa shwria na katiba gani?
Mdude, Polepole na Soka na wengineyo wako wapi, sheria gani imetumika??
Kura milioni 30, Bibi Samia kazitoa wapi??
Sheria ipi inakataza maandamano??
KAma.wewe buheshimu sheria, kanuni, na taratibu, ulitaka nani aziheshimu??
Huyo BIBI yenu, ataiahi kama DIGI DIGI mpaka mwisho wa maisha yake.
Huwezi kuua watu kama UNAUA NZIGE halafu ukaishi kwa AMANI.
Na huyo ****** aliyewageuzia BUNDUKI za KIVITA wananchi wake mwenyewe, hatokaa apate amani.
NEVER.
Sheria ya wapi inasema hayo. Umejiona ulivyo zwazwa?Muandiko wako unaonyesha wewe ni Maria, unapoteza muda kuamini kwenye huo uzushi kwamba ICC inamfahamisha Samia rasmi.
Kisheria ikishaundwa tume na rais inabidi hao wazungu walete tume yao hapa bongo, hiyo tume ya Chande inakuwa ni kinga ya Rais kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
Hili swala msichokijua limo mikononi mwa magwiji wa sheria za kimataifa msidhani serikali inajiendea tu.
International laws, umeanzisha uzi halafu hujui mambo ya msingi kuhusiana na mada uliyoanzisha!.Sheria ya wapi inasema hayo. Umejiona ulivyo zwazwa?
Jiandaeni tu kwenda kunyea debe ICC.
Weka hicho kifunguInternational laws, umeanzisha uzi halafu hujui mambo ya msingi kuhusiana na mada uliyoanzisha!.
Wewe ni zaidi ya zwa zwa. Mnashikiwa akili na wasomi wetu uchwara waliojaa mitandaoni.
Namna hili swala lilivyowekwa na mleta mada inaonyesha hajui masuala nyeti ya kisheria.Sikufahamu na mimi hunifahamu...wewe endelea kuamini kuwa ICC haitamfanya lolote Samia, mimi ninaamini kuwa ICC itamfanya lolote. Muda ni mwalimu mzuri sana.
Ila endelea kukutea upuuzi wa serikali ukidhani wewe upo salama.
Usimstue, acha akoleze moto.Kosa lingine kubwa analofanya Samia baada ya haya mauaji ya kutisha ni Kila anapowashiwa maiki...anapofungua mdomo tu lazima aliongelee hili katika lugha ya kuudhi na kuleta chuki. Haleti utengemano ila anaharibu sana
Anaongea lugha mbovu sana juu ya hili swala. Sijui hawamshauri huko ndani au ni nini anawazaga anaposimanga watanganyika katika hili.
Yale yalikuwa maamuzi ya busara sana, ni machungu lakini ndiyo yaliyotufikisha kwenye huu utulivu tulionao.Mtazamo wako imejaa Giza. Kuna rubber bullets, maji ya pilipili na mbwa na farasi na virungu na mbinu nyinginezo za kudhibiti maandamano na ya mwisho alitakiwa atangaze kusitisha upigaji na uhesabuji kura ili hali ikae sawa. Kutumia silaha za kivita kwa watu wasipokuwa na silaha hizo ni uhalifu dhidi ya binadamu. Alikosea kutoa amri ile kwa kushauriwa vibaya na machawa aliowafuga hivyo abebe msalaba wake.