Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

samahani mkuu hivi ICC wana jeshi lao
 
Katika watu waliosababisha watoto wa watu kuuliwa uyo bwege yumo, matokeo ya kutomeza watoto wa watu then yeye abaki nyuma ya keyboard akipiga jaramba , unadhani Mungu atamuchekea ?!. Soon huyo kibwengo anakuwa chizi.
I beg your pardon
 
Serikali hailazimishwi kufuata matakwa ya Mabeberu inapolinda sovereignty yake.
 
DW HAWATOI NAFASI YA WAOVU KUPUMUA, LEO WAMETOA HABARI HII

Nchini Tanzania familia nyingi bado zinahangaika kutafuta miili ya wapendwa wao waliopotea wakati wa machafuko ya wakati na baada ya uchaguzi uliofanyika miezi mitatu iliyopita.

Mashirika ya haki za binadamu yanasema mamia ya watu huenda walizikwa kwenye makaburi ya pamoja, huku serikali ikikanusha madai hayo.
 
Kukaa kimya kunahitaji wisdom ambayo watu wachache sana wanayo.
Mchukie Lowassa kwa tuhuma zozote lakini alijaliwa hiyo hekima.
 
Taarifa tulizonazo hadi sasa kuna watu zaidi ya 4000 hawajulikani walipo.
 
Inawezekana wanamshauri lakini yeye hashauriki
 
Nakwambiaje. Liwake jua inyeshe mvua huyo kibibi wenu na washirika wake wanatolewa arrest Warrant mwaka huu.
Kuna mambo mawili unachanganya bwana mdogo.
Kutolewa kwa kibali cha kumkamata mtu na kitendo chenyewe cha kumkamata ni mambo mawili tofauti.
Ndio maana wapo viongozi wengi ambao zimetolewa hati za kuwakamata na hadi sasa hawajakamatwa na bado wameendeleza matendo yao ya kinyama. Ungekuwa ni mwelewa angalau ingeendelea kuhifadhi furaha yako kwa matumizi sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…