Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Yatakayomkuta Samia na washirika wake ni kama yaliyomkuta Slobodan Milosevic.

Stay tuned.
 

Hii ni shida kubwa ya huyu mama, yani sijui ni washauri au ni elimu nusu kijiko (chache), yani kila akiwa mbele ya machawa wake lazima ajisifie kwa mauaji hayo, anazidi kuthibitisha pasi na shaka alikusudia na wapambe hawamwambii anakoleza ushahidi wa kujikaanga mwenyewe! Kweli common sense is not common
 
Ndiyo utaratibu wa ICC, halafu uchunguzi gani wamefanya miezi miwili!?
Hujui muda wa uchunguzi unategemea na upatikanaji wa ushahidi?

Kwa namna mauaji yaliyofanywa na Samia na washirika wake yalivyopata ushahidi wa haraka unaulizaje uchunguzi kuchukua miezi 2?

Vyombo vyote vya Kimataifa vinavyoheshimika duniani vimeelezea kwa ushahidi usio na mashaka namna mauaji yalivyofanywa alafu unauliza tena inakuwaje miezi miwili?

Si mlijiandaa kuuwa? Tulieni acheni kelele mshughulikiwe.
 

wewe ndio labda unachanganya mambo, arrest warrant ikitoka ataennda/pelekwa hague, tanzagiza siyo russia au israeli, hivyo arrest warrant kama kweli ikitoka kila kitu kinabadilika kuanzia siku hiyo na uraisi wa tanzagiza ndiyo utafikia ukingoni whether mnataka au hamtaki, hapo salama yenu ni kwamba muombee tu arrest warrant isitoke, lkn kama ikitoke mtashikwa tena ndani ya mwaka mmoja tu na atakuja raisi mwingine na maisha kuendelea, jiulize kuna mtu anamuongelea l. gbagbo wa ivory coast leo hii? hata machawa wake wameshamsahau, hata tanzagiza itakuwa hivyo hivyo ...
 
Una miaka mingapi, isije ikawa najadiliana na mtoto wangu.

Anyway elewa kwamba hakuna atakayemkamata Rais Samuya, bakini na fantasy zenu kama zinawaongezea chochote.
 
Una miaka mingapi, isije ikawa najadiliana na mtoto wangu.

Anyway elewa kwamba hakuna atakayemkamata Rais Samuya, bakini na fantasy zenu kama zinawaongezea chochote.

hakuna atakayemkamata kama tu arrrest warrant isipotoka, lkn kama icc wakitoa arrest waarant huwa inakwenda na regime change kwa hizi nchi masikini zisizo na nguvu, ni kwamba regime change itafwatia halafu raisi atakayekuja ataruhusu icc kuja kumshika, game over ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…