Tiwa Savage: Mchepuko ulinidanganya, najuta kuvunja ndoa yangu, nampigia magoti mume wangu anisamehe

Tiwa Savage: Mchepuko ulinidanganya, najuta kuvunja ndoa yangu, nampigia magoti mume wangu anisamehe

Hivi kwani hakuna wanaume wanaoshawishiwa na michepuko yao na kuachana na wake zao kisha mambo yakigeuka wanawarudia wake zao, au yakimtokea mwanaume ni sawa ila yakimtokea mwanamke ndio hana akili ili mradi tu mwanamke ndio aonekana ana shida, hebu pelekeni stress zenu huko wapumbavu wapo jinsia zote siyo wanawake tu mada inamhusu tiwa savage majitu yanakuja kusema wanawake hawana akili kawaambieni hivyo mama zenu
Punguza kelele
 
Wanawake wote hawana akili ukitaka kuamini hilo chukua likizo ya mwezi kazini halafu ukishapewa likizo mdanganye mwambie umefukuzwa kazi uangalie akili zake zilivyo jinsi atakavyo ku treat.
 
Malaya kapigwa matukio kaamua kurudi kwa mwanaume mwenye upendo wa kweli kwake

Nashauri huyo mme wake asimpokee ili awe na majuto maisha yake yote
Mwanamke akili yake huwa inafanya katika mambo haya

1.Akipigwa mimba halafu mwanaume akamkimbia akili yake inakaa sawa ataanza ujasiriamali
2.Akifikisha miaka 30 hajaolewa anachanganyikiwa japo wanajifanya single and happy
3.Akimaliza chuo akose kazi
4.Aolewa halafu adai talaka baada ya kuhadaiwa na mwanaume mwingine.
 
Hivi kwani hakuna wanaume wanaoshawishiwa na michepuko yao na kuachana na wake zao kisha mambo yakigeuka wanawarudia wake zao, au yakimtokea mwanaume ni sawa ila yakimtokea mwanamke ndio hana akili ili mradi tu mwanamke ndio aonekana ana shida, hebu pelekeni stress zenu huko wapumbavu wapo jinsia zote siyo wanawake tu mada inamhusu tiwa savage majitu yanakuja kusema wanawake hawana akili kawaambieni hivyo mama zenu
Wanaume labda limshangazi lenye hela nyingi
 
Aman iwe kwenu akina mama na akina Baba wote wa jamiiforum

Huko kwa wakuitwa TIWA SAVAGE kimeumana

Baada ya mchepuko kumpiga sound naye akajaa leo ndo kaanza kulia Lia na kumkumbuka mume wake wa ndoa

Wanawake ni viumbe wajinga sana wasiokuwa na akili hata moja

Akili kubwa waliyonayo ni kuvaa na kuvua chupi zao tu

LONDON BOY

---
Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amesema anajutia kuachana na mume wake, Tunji Balogun maarufu kama Teebillz na kuanzisha uhusiano na mwanaume mwingine.

Msanii huyo amebainisha hayo wakati akifanya mahojiano na jarida la Elle South Africa na kusema hiyo ndio moja ya kosa kubwa ambalo amewahi kufanya.

"Nilimfanya mume wangu asijisikie kuwa mwanaume kwa sababu nilianza kutoka na mwanaume mwingine, bado nampenda na najua nilimkosea lakini nataka kurekebisha mambo na turudiane,” amesema

"Sina uhakika kuwa anaweza kunirudisha tena na sikuwahi kutaka kumpa talaka lakini mwanaume mwingine alinihadaa nimuache mume wangu niwe naye.”

Tiwa ameongeza kuwa sio rahisi mwanamke aliyemwacha mumewe kuolewa na mwanamume mwingine huku akiwasihi wanawake kutofanya alichokifanya.

Mwananchi
Huyo Msanii kuna wimbo anataka kutoa!
 
Back
Top Bottom