Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo yaaniDuh kwahiyo umemshusha thaman?
Noma kweliHapo unakuta alikuwa anamuona jamaa bwege tu kumbe ndio ilikua hatima yake.
Bikra si aliitoa mumewe sasa irudishwe ili iweje??aombe mungu amrudishie bikra tunaze upya
Uchi toka lini ukawa na sura nzuri? 😼Kwa uchi wake ule mbaya bado ana cheat duh watu majasiri
Hata wako? Weka picha tuuone ulivyo ili tuthibitishe u mzuri au mbaya kama usemavyo mkuu.😀😀😀Uchi toka lini ukawa na sura nzuri? 😼
Chungulia wako kwanza jibu usinipe baki nalo 😹😹Hata wako? Weka picha tuuone ulivyo ili tuthibitishe u mzuri au mbaya kama usemavyo mkuu.😀😀😀
Acha mbwembwe tajiri. Weka picha.Chungulia wako kwanza jibu usinipe baki nalo 😹😹
Punguza keleleHivi kwani hakuna wanaume wanaoshawishiwa na michepuko yao na kuachana na wake zao kisha mambo yakigeuka wanawarudia wake zao, au yakimtokea mwanaume ni sawa ila yakimtokea mwanamke ndio hana akili ili mradi tu mwanamke ndio aonekana ana shida, hebu pelekeni stress zenu huko wapumbavu wapo jinsia zote siyo wanawake tu mada inamhusu tiwa savage majitu yanakuja kusema wanawake hawana akili kawaambieni hivyo mama zenu
Ilikuwa ya mchepuko halafu tiwa anajua sana mautamu sio kwa mauno yake mixer kilio cha utamu balaa!!ILe "pilau" yake ilikua na mume wake au mchepuko?
Mwanamke akili yake huwa inafanya katika mambo hayaMalaya kapigwa matukio kaamua kurudi kwa mwanaume mwenye upendo wa kweli kwake
Nashauri huyo mme wake asimpokee ili awe na majuto maisha yake yote
Wanaume labda limshangazi lenye hela nyingiHivi kwani hakuna wanaume wanaoshawishiwa na michepuko yao na kuachana na wake zao kisha mambo yakigeuka wanawarudia wake zao, au yakimtokea mwanaume ni sawa ila yakimtokea mwanamke ndio hana akili ili mradi tu mwanamke ndio aonekana ana shida, hebu pelekeni stress zenu huko wapumbavu wapo jinsia zote siyo wanawake tu mada inamhusu tiwa savage majitu yanakuja kusema wanawake hawana akili kawaambieni hivyo mama zenu
Hii sample hata manzese unaweza kupata, ukizurula madoto huikosi ndio maana mambo yake meusi kama chausiku wa mburahati Barafu
Huyo Msanii kuna wimbo anataka kutoa!Aman iwe kwenu akina mama na akina Baba wote wa jamiiforum
Huko kwa wakuitwa TIWA SAVAGE kimeumana
Baada ya mchepuko kumpiga sound naye akajaa leo ndo kaanza kulia Lia na kumkumbuka mume wake wa ndoa
Wanawake ni viumbe wajinga sana wasiokuwa na akili hata moja
Akili kubwa waliyonayo ni kuvaa na kuvua chupi zao tu
LONDON BOY
---
Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amesema anajutia kuachana na mume wake, Tunji Balogun maarufu kama Teebillz na kuanzisha uhusiano na mwanaume mwingine.
Msanii huyo amebainisha hayo wakati akifanya mahojiano na jarida la Elle South Africa na kusema hiyo ndio moja ya kosa kubwa ambalo amewahi kufanya.
"Nilimfanya mume wangu asijisikie kuwa mwanaume kwa sababu nilianza kutoka na mwanaume mwingine, bado nampenda na najua nilimkosea lakini nataka kurekebisha mambo na turudiane,” amesema
"Sina uhakika kuwa anaweza kunirudisha tena na sikuwahi kutaka kumpa talaka lakini mwanaume mwingine alinihadaa nimuache mume wangu niwe naye.”
Tiwa ameongeza kuwa sio rahisi mwanamke aliyemwacha mumewe kuolewa na mwanamume mwingine huku akiwasihi wanawake kutofanya alichokifanya.
Mwananchi
Watake radhi dada zetu mkuuWanawake ni viumbe wajinga sana wasiokuwa na akili hata moja
Akili kubwa waliyonayo ni kuvaa na kuvua chupi zao tu